Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Ukweli mwingi umefichwa na serikali ya KAGAME.Ni ukweli usiopingika kuwa tusi waliuawa wengi.ILA ukweli usiosemwa ni kwamba mara baada ya RPF kushika dola wahutu wenye mlengo wa kushoto na RPF walikipata cha mtema kuni.jeshi la intelahamwi lilisambazwa hivyo ikabidi wapiganaji wakimbilie zaire(DRC) RPF wakawafata huko huko na kilichowapata huwa hakisemwi sana.yaani waliuliwa kikatili sana.walikuwa wanafungwa mikono na miguu na wanawekwa kwenye magogo kama yale ya bucha zetu za kwa mtogole au manzese then kichwa kinawekwa kwenye gogo unashushiwa nyundo ya kilo 12 na jitu lenye miraba minne.ukweli ni kwamba inasadikika kuwa wahutu walioaga dunia baada ya RPF kushika dola ni wengi kushinda watusi waliouaw enzi za mapigano
 
Yan nasikitika watanzania wenyewe wanaanza kushirikisha serikali kuhusika na mipango ya Rwanda pia hata Kama ilkua hvyo Basi mjue ilkua n kwasababu za kimaslai dhidi ya bongoland nasio vinginevyo Mana naona kunawatu wanakuja na swaga za bongoland ilihusika hvyo mjue hata Kama ilkua hvyo n kwa usalama wa baba zenu enz zile ndomana Leo unakatiza mikoa unayotaka bila wasiwasi na chezo ukitaka unapewa kwa ukarimu mkubwa.

Hata ukusikia nchi flan imepeleka wanajeshi wa Aman taifa flan jua Kuna kitu taifa lililopeleka hao njemba litanufaika na kitu kutoka huko.

Ila leo Jamaa kauchuna leo Mie naona aje yule jamaa aliemkumbusha kuwa ubaloz ulkua sehemu gan sijui ile, Mana hapa tunalishana mawazo mema kwa taifa Bora la kesho
Hakuna uhakika wa 100% nani alihusika kudungua hiyo ndege...jeshi la hutu 80% .kwakuwa mpango wa mauaji ulishapangwa na rais alitaka mazungumzo ya amani alionekana kama msaliti pia.kwahiyo aliaungushiwa jumba bovu ili hutu wapate sababu ya kuanzisha mauaji.kina kagame 10% ( Hakuna sababu) .tz 0.1%.( hakuna sababu).museveni 9.9% ( ipo sababu).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anakimbelembele sana huyu likud
LIKUD,
Mbona inaonekana wewe ndiye una haraka? Wengi tunafahamu kwamba vita imeanza mwezi huo wa nne hadi wa saba tena mwaka 1994.

Yeye ameanza na mwaka aliomaliza masomo ya stashahada mwaka 1989 na kupata kazi kwenye ubalozi huko Rwanda. Bado anaendelea na background hajafikia kipindi vita imeanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bossless,

We Muongo, ulienda mwezi WA sita hahahaha.

Vita imeanza mwezi WA nne imeisha mwezi WA Saba but wewe ulipata KAZI mwezi WA sita wakati serikali ya Rwanda imevurumishwa na Rpf na kukimbilia Gisenyi Kwa kina Haruna Niyonzima huku mapigano makali yakiendelea.

Anyways wakati unapata hiyo KAZI Rais wa Rwanda alikuwa anaitwa Nani?

Jibu huna Mpira uishie hapa.

" falsus in uno falsus in omnibus" false in one thing false in every thing.

@moderators futeni uzushi huu unachafua hadhi ya jf
We jamaa sidhani kama hata cheti ulipata form 4. Ni mkurupukaji wa kiwango cha SGR. Stori ipo mwaka 89 hata 94 haijagonga wewe tayari ushahitimisha kuwa stori ni ya uongo.
 
Kwenye hii thread unaweza ukajifunza kwamba:
Wengi wetu (waTz) sio wavumilivu na mwisho wa siku tunalaumu Sana na kutoa maneno yasiyopendeza bila kujua upande wa mlengwa uko vipi.
Halafu wengine mnashindwa kuvumiliana mnatukanana wenyewe kwa wenyewe kisa kupanic.
Kwani mtu akiku quote kakujibu vibaya lazima ujionyeshe wewe mwamba kwa kumtusi?! Tubadilike

Hivi mtu amejielezea Hawezi kuandika haraka lakini mtu unakuja unatukana au kutoa kashfa na maneno mabaya what does that indicate??!

Pia, tujue mtu wa 50+ hashindi na simu muda wote emergencies za hapa na pale, wageni au majukumu katika familia na eneo husika la riziki zinaweza mbana kufanya hivyo kwa wakati. Hebu tuache kuwa na mawazo+ mihemko hasi.

Trust the process, akisema ataleta jua kutulia kusubiri na uelewe huyu anayeandika ni binadamu na anakumbana na maswahibu ya hapa na pale Kama wewe so when the story doesn't come on time, Relax and be positive.
Ni kweli mkuu, halafu kumbuka mtu anajitolea kusimulia buree, jenga taswira uandike story ndefu hivyo kwenye keypad ya simu
 
LIKUD kwani lazima kila uzi uchangie? yaani nakuonaga unakaujuaji ka kisekondari sekondari.Hebu hata kama huna nywele sehemu za siri jaribu kujiheshimu.Nenda kwenye majukwaa yenu ya kula mzigo kimasihara huko ndo level zako.

Next time.dont mention my name in vain
 
Walikuwa walinda amani hivyo hawakuwa na order ya kuingilia hiyo vita...lakini pia hao inasemekana walikuwa na mambo yao...mabeberu kama kawaida yao...kwahiyo walikuwa kama wale chatu wa ngoma za asili.

Sent using Jamii Forums mobile app

umejikoroga Hapa.
kama walikua wanalinda amani, ni amani gani walikua wanalinda wakat mauaji yanatokea mbele yao wanaona.
 
ĹMtutsi huwa mrefu hewani au wa wastani.pua ndefu ya kisomali.ngozi nzuri laini.kama ni mwanamke hubeba hipsi za maana.nywele nzuri pia kiufupi huwa ni wenye mvuto.(pisi kali).hutu huwa vijeba .hawana mvuto nywele kipilipili na pua pana.wengi ni weusi tititii..mademu zao vipori[emoji85][emoji85][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado hujajua kuwatofautisha watusi na wahutu. Pole sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ĹMtutsi huwa mrefu hewani au wa wastani.pua ndefu ya kisomali.ngozi nzuri laini.kama ni mwanamke hubeba hipsi za maana.nywele nzuri pia kiufupi huwa ni wenye mvuto.(pisi kali).hutu huwa vijeba .hawana mvuto nywele kipilipili na pua pana.wengi ni weusi tititii..mademu zao vipori[emoji85][emoji85][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Mimi nilifikiri hivyo kabla lakini baadae nikagundua kuna watutsi vijeba na vipilipili tu kama wahutu

Ndio nikataka kujua kama kuna sifa ya ziada kuwatambua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umejikoroga Hapa.
kama walikua wanalinda amani, ni amani gani walikua wanalinda wakat mauaji yanatokea mbele yao wanaona.
Ndio maana nimekwambia walikuwa na mambo yao...lakini pia walikuwepo kabla vita haijaanza na vita ilikuwa haihusishi wao.kwahiyo walikuwa walinda amani katikati ya vita.ilibidi itoke order ya nini cha kufanya na nini si cha kufanyakutoka kwa mabeberu.wasingeweza kuingilia vita isiyowahusu ndio maana walikuwa wanaokoa raia wao tu wazungu na si hutu or tutsi.walikuwa under pressure zaidi ya unavyodhani.kumbuka walishauwawa wanajeshi kadhaa nyumbani kwa mwanamama waziri mkuu walipotaka kumtetea asiuwawe.they were peace keepers not intarvention forces..sijui umenipata?the situation was very bad!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom