Kwanza kunifananisha na Bashite sio tusi hata chembe, yaani mimi simchukii mtu hata kama tunatofautiana kimtazamo ama itikadi. Lingekuwa tusi zito ungenifananisha na wewe mwenyewe! Hakika ningeumia sana.
Ebu jifunze ku-edit fikra zako kabla ya kiziweka katika maandishi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza kunifananisha na Bashite sio tusi hata chembe, yaani mimi simchukii mtu hata kama tunatofautiana kimtazamo ama itikadi. Lingekuwa tusi zito ungenifananisha na wewe mwenyewe! Hakika ningeumia sana.
Ebu jifunze ku-edit fikra zako kabla ya kiziweka katika maandishi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haraka sana nitakitafuta, Asante!.Kuna kitabu kizuri kinaitwa " our lady from kibeho" tafuta hicho online ukisome.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna Shaka Kaka yani nilivyokuwa nasoma comment zenu wengine mkajua nimekimbia .simu yangu imekreki hivyo inashindwa hata kuandika
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuuHakuna cha nini kiliikumba dunia, mbona hapa duniani mauaji mengi tu hutokea kuanzia kule kwa Denis sassungweso Congo brazavile mpaka kwa Seleka na antbaraka pale Africa ya kati ukiacha ule ujinga wa Syria, Iraq na Afghanistan.. Kifupi duniani tuko wengi ila wenye dunia wako wachache na hao wachache ndio wameshika remote...
Tanzania tulichukua hatua gani mauaji wakati mauaji yanatokea ni swali gumu fikirishi sanaWakati hii vita inatokea kule Soviet napo kulikuwa na mapigano ya kujitenga na urusi, nadhan ndo yalipewa sana airtime , Rwanda zilikua siku 90 tu za Hofu na mashaka , na inasemekana watu zaidi ya milioni moja waliuwawa ndani ya siku hizi tisini.
Sent from my SM-A207F using Tapatalk
Wewe kabila gani?wahutu walikuwa na mpango wakutokomeza kizazi cha watutsi, yaani kuua watutsi wote, ili enterahamwe wakose sapoti ya kuchukua nchi. Kagame anafanya vizuri sana kumaliza nguvu za wahutu. wahutu ni makatili sana bora kagame awauwe wale wakorofi. i hate hutus
Hilo linawezekana sana mkuuKwa jinsi tulivyo na wakat uliopo sishangai kama atakua hajaambiwa awape version watu flani waihakiki maana mjamaa ujue alikua ubalozini kabisa na ni nguli so wenyewe wanaifanyia editing.
Sent using Jamii Forums mobile app
Please usiwaite "mbwa"
Yanii sisi watanzaniaNimepata dhoruba kidogo simu yangu imepasuka kioo Leo mchana tutaendeleaaa hapa natumia simu ya wife msijali hii itafika mwisho lazima nimalize msihofuView attachment 1380093
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuwekee post zene stori kwenye post ya kwanza... 🙏 tunaomba...... mimi niliishia sehemu ya pili zingine nimeshindwa kuzitafuta maana post zishakua nyingiiiiiiNimehangaika Sanaa na dunia kutafuta hela mkuu ,sasa nimezeeka acha tu nipumze .
Sent using Jamii Forums mobile app
Na jumatatu kasema anaenda NSSF kufuatilia mafao yake hivyo hataweza kupost plus jumanne ana safari ya Shinyanga!!Imekula kwetu kesho amesema ataenda Taifa kushuhudia mnyama akichinjwa, kumuona humu mpaka jumatatu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mataifa makubwa hayakujua? Uingereza, Ufaransa, Ubelgiji, USABila kuingilia simulizi know the following: ni kweli uliyoyasema yalitokea ila mauaji yaliandaliwa, kuhamasishwa na kuhakikisha yanatekelezwa na viongozi wa jeshi, serikali na chama chao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si watakuwa wazee sana mkuu?...hata sijui kama wanaingia JfNafurahi tu hapa maana kama jamaa alifanya kazi ubalozini na miaka ndio kama hiyo aliyoitaja kuna uwezekano mkubwa jamaa wakamfahamu
Sasa hiyo kusema tu kua ubalozini kuna vyumba vya siri hata kama hajasema ni siri gani naona kama ameshatoa siri, wanaweza wakamtafuta labda
Mkuu "Mbari" ni neno la kiswahili lenye maana ya Koo "clan" "ethnicity" kitu ambacho wengi awakijuhi ni kwamba yae mauaji ya Rwanda yalikuwa baina ya koo mbili za watusi na wahutu (sio kabila) kwan uko watsi na wahutu wote wanaongea kinywarwanda na tamaduni ni sawa awa tofauti zao ni morphology yaan mwonekano....sifa ya ziada awa watusi inasadikika wana asili ya Ethiopia ndo maana ni wazuri kulinganisha na wahutu, mauaji yale kuna wakt mtu ilibidi uokolewe na nan anakujua au "kipande" id na wala sioo mwonekano wako kwan walishaingiliana so kupoteza identity...Kimbari nadhani neno lilitumika kumaanisha" azimio la kuua idadi kubwa ya watu hasa wenye mlengo wa aina fulani..mfano nchi.dini.kabila.e.tc..kwa rwanda waweza sema ni azimio la kuua idadi kubwa ya watu wa kabila la kitutsi.( hii ni tafsiri yangu..niko " teyari" kusahihishwa.).
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu.. "Amen" [emoji120]Mkuu huu ni ushauri murua sana, napenda sana watu wanao ona fursa na kuwashitua wenzao. Mkuu nimeona unapenda na wengine kufanikiwa, hakika utafika mbali sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli mwingi umefichwa na serikali ya KAGAME.Ni ukweli usiopingika kuwa tusi waliuawa wengi.ILA ukweli usiosemwa ni kwamba mara baada ya RPF kushika dola wahutu wenye mlengo wa kushoto na RPF walikipata cha mtema kuni.jeshi la intelahamwi lilisambazwa hivyo ikabidi wapiganaji wakimbilie zaire(DRC) RPF wakawafata huko huko na kilichowapata huwa hakisemwi sana.yaani waliuliwa kikatili sana.walikuwa wanafungwa mikono na miguu na wanawekwa kwenye magogo kama yale ya bucha zetu za kwa mtogole au manzese then kichwa kinawekwa kwenye gogo unashushiwa nyundo ya kilo 12 na jitu lenye miraba minne.ukweli ni kwamba inasadikika kuwa wahutu walioaga dunia baada ya RPF kushika dola ni wengi kushinda watusi waliouaw enzi za mapigano