Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Zina haja hopeless, kama liroho lako baya linateseka hayo maendeleo yakitajwa, ni lishetani limekujaa, usiforce kila mtu afanane na ww.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani wewe na bashite mna utofauti wa kimtazamo? Wapi nimesema hayo? Pia kuwa na akili sawa na bashite siyo tusi unless unataka maanisha hivyo.
Kwanza kunifananisha na Bashite sio tusi hata chembe, yaani mimi simchukii mtu hata kama tunatofautiana kimtazamo ama itikadi. Lingekuwa tusi zito ungenifananisha na wewe mwenyewe! Hakika ningeumia sana.

Ebu jifunze ku-edit fikra zako kabla ya kiziweka katika maandishi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa haya uliyoandika ukiambiwa una akili sawa na bashite una kasirika, anyway very sorry kama nimekukwaza.
Kwanza kunifananisha na Bashite sio tusi hata chembe, yaani mimi simchukii mtu hata kama tunatofautiana kimtazamo ama itikadi. Lingekuwa tusi zito ungenifananisha na wewe mwenyewe! Hakika ningeumia sana.

Ebu jifunze ku-edit fikra zako kabla ya kiziweka katika maandishi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna cha nini kiliikumba dunia, mbona hapa duniani mauaji mengi tu hutokea kuanzia kule kwa Denis sassungweso Congo brazavile mpaka kwa Seleka na antbaraka pale Africa ya kati ukiacha ule ujinga wa Syria, Iraq na Afghanistan.. Kifupi duniani tuko wengi ila wenye dunia wako wachache na hao wachache ndio wameshika remote...
Kabisa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati hii vita inatokea kule Soviet napo kulikuwa na mapigano ya kujitenga na urusi, nadhan ndo yalipewa sana airtime , Rwanda zilikua siku 90 tu za Hofu na mashaka , na inasemekana watu zaidi ya milioni moja waliuwawa ndani ya siku hizi tisini.

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
Tanzania tulichukua hatua gani mauaji wakati mauaji yanatokea ni swali gumu fikirishi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania wakitaka kitu wanakua wapole sana...ona kwenye huu uzi,kuna watu wanajua kubembeleza aisee,wanajua kujinyenyekeza..yaani tumekua wapole...ninachofurahi ni kuona bado kuna watanzania wana spirit ya kupenda kusoma ..
 
wahutu walikuwa na mpango wakutokomeza kizazi cha watutsi, yaani kuua watutsi wote, ili enterahamwe wakose sapoti ya kuchukua nchi. Kagame anafanya vizuri sana kumaliza nguvu za wahutu. wahutu ni makatili sana bora kagame awauwe wale wakorofi. i hate hutus
Wewe kabila gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa jinsi tulivyo na wakat uliopo sishangai kama atakua hajaambiwa awape version watu flani waihakiki maana mjamaa ujue alikua ubalozini kabisa na ni nguli so wenyewe wanaifanyia editing.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo linawezekana sana mkuu

Kuna member humu anaitwa allen kilewela alikuja na thread akielezea vyombo vya ushushushu akaja kusema kwenye uzi huo huo kuwa kuna watu wenye mamlaka wamemzuia asiendelee kumwaga nondo kwenye ule uzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mbwa wengi sana humu

Sent using Jamii Forums mobile app
Please usiwaite "mbwa"
N
Nimepata dhoruba kidogo simu yangu imepasuka kioo Leo mchana tutaendeleaaa hapa natumia simu ya wife msijali hii itafika mwisho lazima nimalize msihofuView attachment 1380093

Sent using Jamii Forums mobile app
Yanii sisi watanzania
Mtu una accuse tu bila kujua mwenzio kimempata Nini... watu wameongea Mara maandishi kakimbia Mara sijui Nini
Asee let's stop assuming things huyu mwandishi Ni binadamu na anapata maswahibu Kama wengine bila kutegemea..

Yaniii tunashindwa kuwa watulivu na wavumilivu I am sure ndio maana Mungu alijificha asionekane kwa macho yetu maana Kuna watu wangeshamrushia mawe

So far pole mzee...Mimi naomba take your time ukiona uko fine leta muendelezo ukiwa umetulia usiende kwa pupa maana unaweza ukashindwa kutupa kile umeplan kutupa...
 
Nimehangaika Sanaa na dunia kutafuta hela mkuu ,sasa nimezeeka acha tu nipumze .

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuwekee post zene stori kwenye post ya kwanza... 🙏 tunaomba...... mimi niliishia sehemu ya pili zingine nimeshindwa kuzitafuta maana post zishakua nyingiiiiii
 
Bila kuingilia simulizi know the following: ni kweli uliyoyasema yalitokea ila mauaji yaliandaliwa, kuhamasishwa na kuhakikisha yanatekelezwa na viongozi wa jeshi, serikali na chama chao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mataifa makubwa hayakujua? Uingereza, Ufaransa, Ubelgiji, USA

kwa nature ilivyo nchi hizo tatu (DRC, BURUNDI, RWANDA) Wabelgiji, Wafaransa hawa wote wana influence kubwa sana humo kama mtu anafuatilia nchi hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafurahi tu hapa maana kama jamaa alifanya kazi ubalozini na miaka ndio kama hiyo aliyoitaja kuna uwezekano mkubwa jamaa wakamfahamu

Sasa hiyo kusema tu kua ubalozini kuna vyumba vya siri hata kama hajasema ni siri gani naona kama ameshatoa siri, wanaweza wakamtafuta labda
Si watakuwa wazee sana mkuu?...hata sijui kama wanaingia Jf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimbari nadhani neno lilitumika kumaanisha" azimio la kuua idadi kubwa ya watu hasa wenye mlengo wa aina fulani..mfano nchi.dini.kabila.e.tc..kwa rwanda waweza sema ni azimio la kuua idadi kubwa ya watu wa kabila la kitutsi.( hii ni tafsiri yangu..niko " teyari" kusahihishwa.).

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu "Mbari" ni neno la kiswahili lenye maana ya Koo "clan" "ethnicity" kitu ambacho wengi awakijuhi ni kwamba yae mauaji ya Rwanda yalikuwa baina ya koo mbili za watusi na wahutu (sio kabila) kwan uko watsi na wahutu wote wanaongea kinywarwanda na tamaduni ni sawa awa tofauti zao ni morphology yaan mwonekano....sifa ya ziada awa watusi inasadikika wana asili ya Ethiopia ndo maana ni wazuri kulinganisha na wahutu, mauaji yale kuna wakt mtu ilibidi uokolewe na nan anakujua au "kipande" id na wala sioo mwonekano wako kwan walishaingiliana so kupoteza identity...

I stnd to be corrected

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Powa tu mbona nawao waliwakata mapanga wenzao.ila Vita ya makabila isikieni tu.hii stori imenihuzunisha sana.hasa pale balozi alipowaambia Kama una passport panda gari Kama huna litakalokukuta tusilauminae. So sad [emoji24][emoji24][emoji24]
Ukweli mwingi umefichwa na serikali ya KAGAME.Ni ukweli usiopingika kuwa tusi waliuawa wengi.ILA ukweli usiosemwa ni kwamba mara baada ya RPF kushika dola wahutu wenye mlengo wa kushoto na RPF walikipata cha mtema kuni.jeshi la intelahamwi lilisambazwa hivyo ikabidi wapiganaji wakimbilie zaire(DRC) RPF wakawafata huko huko na kilichowapata huwa hakisemwi sana.yaani waliuliwa kikatili sana.walikuwa wanafungwa mikono na miguu na wanawekwa kwenye magogo kama yale ya bucha zetu za kwa mtogole au manzese then kichwa kinawekwa kwenye gogo unashushiwa nyundo ya kilo 12 na jitu lenye miraba minne.ukweli ni kwamba inasadikika kuwa wahutu walioaga dunia baada ya RPF kushika dola ni wengi kushinda watusi waliouaw enzi za mapigano
 
Back
Top Bottom