Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Mataifa makubwa hayakujua? Uingereza, Ufaransa, Ubelgiji, USA

kwa nature ilivyo nchi hizo tatu (DRC, BURUNDI, RWANDA) Wabelgiji, Wafaransa hawa wote wana influence kubwa sana humo kama mtu anafuatilia nchi hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ubeligiji walikuwa na kikosi pale cha kulinda Amani,lakini kilchotokea mpaka leo imekuwa ni habari nyingine,
Ikumbukwe baada ya ndege iliyowabeba Maraisi wawili Habyarimana na Cyprian Ntaryamila wa Burundi kuangushwa,kisasi kilichofuatia ni kuuwawa Kikatili waziri Mkuu wa Rwanda mtutsi Mwanamama Wilingimana Agatha ...sorry Mkuu Bossless kwa kuigilia uzi wako niko radhi kusahihishwa.
 
We mdingi una kipaji but punguza kususa daah... Hujaizoea jf tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma kichwa habari Cha uzi HUU matukio yalikuwa mengi Sanaa Mimi naeleza niliyoyashudia mengine nasikia tu Kama wewe unavyosikia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakuwa ni mtutsi wewe[emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenena vyema Kabisa ,ikumbukwe pia kuna Watanzania walikwama kwenye yale mapigano,lakini hazikufanyika juhudi stahiki kuweza kuokoa maisha yao.
Ilikuwa hali mbaya na ya kushangaza ni european pekee na americanndio walikuwa na uwezo wa kuingia na kuchukua watu wao hii ni kwasababu ya power waliyonayo.nchi kama tanzania hakukuwa na namna zaidi ya kupokea wakimbizi.hali ilikuwa mbaya sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najitolea kumsaka huyu balozi wa Tz huko Rwanda ana moyo wa ujasiri kuliko wanaume wengi humu
Hivi hadi sasa tumeshindwa kupata jina la huyo balozi wa Tanzania nchini Rwanda kwa kipindi hicho?
 
Inatisha aisee! Inaonekana hawa interahamwe ndio walioua watu wengi sana kuliko jeshi la nchi husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…