Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Acha tu bro, bossless kanikumbusha moja ya tukio baya sana nililiona kwa macho yangu nikiwa na miaka 10 jamaa walikuwa wawili ilikuwa saa tisa na dk 17, alasiri tarehe 26/4/1994. Utanzania uliniokoa dogo huyo aliyekuwa rafiki yangu alipewa thiodan ile dawa tunayopulizia nyanya shambani dogo akawaambia anasikia kiu wakamwongeza nyingine alikufa namwona hv siku nilipoenda musozi kwa mara ya kwanza niliona picha ya dogo pale ndio maana naamini dogo amelala pale afu babu yake wakaondoka nae sijamwona hadi leo

Yaan ningekuwa na uwezo wale jamaa nikiwakuta jehanamu au mbiguni niwauwe tena[emoji24][emoji24][emoji24] basi tu

Rip Jean, babu huko uliko neema za Mungu ziwe nawe

Sorry bossless kuingilia uzi wako
Inauma sana, hapa shetani alifanya kazi yake haswa, hivi jinamizi gani liliwakumba hawa binadamu? Inasisimua mwili kabisa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha tu bro, bossless kanikumbusha moja ya tukio baya sana nililiona kwa macho yangu nikiwa na miaka 10 jamaa walikuwa wawili ilikuwa saa tisa na dk 17, alasiri tarehe 26/4/1994. Utanzania uliniokoa dogo huyo aliyekuwa rafiki yangu alipewa thiodan ile dawa tunayopulizia nyanya shambani dogo akawaambia anasikia kiu wakamwongeza nyingine alikufa namwona hv siku nilipoenda musozi kwa mara ya kwanza niliona picha ya dogo pale ndio maana naamini dogo amelala pale afu babu yake wakaondoka nae sijamwona hadi leo

Yaan ningekuwa na uwezo wale jamaa nikiwakuta jehanamu au mbiguni niwauwe tena[emoji24][emoji24][emoji24] basi tu

Rip Jean, babu huko uliko neema za Mungu ziwe nawe

Sorry bossless kuingilia uzi wako

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ulitorokaje? Tupe kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
''Wengi wape" kwanini Tutsi hawataki kutawaliwa na Wahutu walio wengi?

alafu mbona stori nyingi inaonekana wahutu ndio makatili na wakorofi?

kwani watutsi ni innocent kwa Wahutu tangu kizazi na kizazi?

Vipi kwa sasa utawala wa kagame, jeshi lina Wahutu pia?

Wakuu stori hii inasikitisha , hasa nikifikiria watanzania wenzangu waliokuwa na familia huko, Nahisi watanzania wengi waliuwawa ila mtoa mada alipona ndio maana leo anasimulia
RIP watanzania wenzetu

Sent using Jamii Forums mobile app
PK na genge lake wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kujenga picha hasi kwa wahutu japo ukweli ni kuwa mauaji yale yalikuwa ya pande mbili, tutsi waliuliwa lkn pia hutu waliuliwa. Walikuwa wakiviziana lkn kutokana na wingi wa wahutu walionekana kama wamewazidi nguvu tutsi.

Tutsi kwa asili yao ni wabinafsi na wanajiona binadamu special (daraja la kwanza) na kuwachukulia wenzao daraja la chini, dhana hiyo imejengeka mpaka leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli mwingi umefichwa na serikali ya KAGAME.Ni ukweli usiopingika kuwa tusi waliuawa wengi.ILA ukweli usiosemwa ni kwamba mara baada ya RPF kushika dola wahutu wenye mlengo wa kushoto na RPF walikipata cha mtema kuni.jeshi la intelahamwi lilisambazwa hivyo ikabidi wapiganaji wakimbilie zaire(DRC) RPF wakawafata huko huko na kilichowapata huwa hakisemwi sana.yaani waliuliwa kikatili sana.walikuwa wanafungwa mikono na miguu na wanawekwa kwenye magogo kama yale ya bucha zetu za kwa mtogole au manzese then kichwa kinawekwa kwenye gogo unashushiwa nyundo ya kilo 12 na jitu lenye miraba minne.ukweli ni kwamba inasadikika kuwa wahutu walioaga dunia baada ya RPF kushika dola ni wengi kushinda watusi waliouaw enzi za mapigano
Huu ndiyo ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom