Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Samahani wadau niulze swali, watu wana dai Museveni anampa back Kagame, ila MDA huo huo Rwanda na Uganda hawaelewani.

Rejea, mavurugano ya juz hapa had wakafunga mpaka??? NAOMBA KUELEWESHWA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Museveni nae ni mtusi mkuu, kama sio mtusi kwann awachukie wahutu?????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebhana babu la mababu, Mungu akubariki sanaa, ila ingekua vyema ukatupa mrejesho wale mabinti wa balozi wako wapi sasa, mlivyovuka boda la bongo walikua wanaonekanaje? Walikua na furaha? Bila shaka sasa iv wameshakua wamama watu wazima.
Tuliachana bunjumbura nadhani yeye alienda kula goodtime na wale watoto kwa balozi mwenzie wa Tanzania nchini Burundi .wale watoto sikuwaona tenaaa....aise.nilichokuwa nawaza Mimi nikukutana na familia yangu Dar tu sikuwaza ya wengine tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hujaeleza Hatma ya wale watoto na balozi ?wapi defender nyeupe ilipotelea?
Kuna tension au vitisho umepata mkuu? Sikutegemea kupata mwisho mwepesi hivi!!! Yote kwa yote asante sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jina la huyo Balozi ni nani? Kwanini umekua mgumu kulitaja wakati umeamua kutusimulia hayo mengine?
 
UN ilikuwa kimya, US ilikuwa kimya, AU ilikuwa kimya. US, UN, Belgium na France walichofanya ni kuhakikisha watu wao waliondolewa salama.

US secretary of state wakati huo Warren Christopher alikaririwa akisema tumefanikiwa kuwatoa Americans safe na hilo ndio jambo la msingi, wanaopigana ni kina nani, Rwandans vs Rwandans, ngoja wauane coz they are foolish.
 
Asante sana mkuu[emoji120]...Ubarikiwe.
Usiku mwema kwako pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hujaeleza Hatma ya wale watoto na balozi ?wapi defender nyeupe ilipotelea?
Kuna tension au vitisho umepata mkuu? Sikutegemea kupata mwisho mwepesi hivi!!! Yote kwa yote asante sana

Sent using Jamii Forums mobile app

story ya kutunga/ kukopy na kupaste huu ndio unakuaga mwisho wake.
wasomaji mnabaki na maswali lukuki.
 
Wale mabinti mlivuka nao?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante sana kwa elimu hii uliyotupa mana nimesoma toka mwanzo mpk mwisho huku nikiivutia picha kama naangalia movie,,,,,mungu akubariki .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jina la huyo Balozi ni nani? Kwanini umekua mgumu kulitaja wakati umeamua kutusimulia hayo mengine?
Kwa kweli angemtaja tu angalau tumpongeze ukizingatia kuwa huyo balozi alikuwa ni mwanamke na leo ni siku ya wanawake duniani. Huyo mwanamke ana ujasiri wa ajabu kupita hata wanaume wengi wa kutoka pande hizo tuliowazoea kuwaona na kuwasikia kwamba ni wapenda ulojo.
 
Nimekutapeli kivipi ndugu Mbona unanipa sifa siyo yangu
Kwanini unichafue nimekukosea nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo alivyo mkuu mpotezee ni singo mama ,anajifariji na Hela za Forex kuwa mwanaume kazi yake ni kuningiza kengele. Anaonyesha trades ila withdraw haonyeshi ujue.
Hata mwanae pia atakuwa ivyo ivyo.
Ninakuomba umpotezee mana ni usugu wake,yani kama ni mweupe huwezi mbadilisha akawa mwekundu.
Uzi Wa kimasihara alipigwa ban mana anashambulia watu.yani ana stress za maisha so anaamua kuwapunguzia wengine
 
Ehhh kwa kweli yani kama moviee
Poleh kwa masaibu mazito
Naamini utapata amani moyoni kwa kushusha huo mzigo

imenifanya nipate uelewa kidogo kwanini baadhi ya watangazaji wa redio walihukumiwa pia...ni kwa sababu ya kuaminisha dunia Rwanda iko okay wakati haikua kweli...au una mtizamo gani Baba?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…