Mama Debora
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 1,482
- 2,600
Kama ushajua kwanini unapoteza muda kukoment?? Umalaya unakusumbuae?
Sent using Jamii Forums mobile app
eishhhhh.... Bi fatuma nimekusikia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ushajua kwanini unapoteza muda kukoment?? Umalaya unakusumbuae?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hivo mkuu, kagame siku hzi haangalii cha kabila ukimgusa tu anapaa na wwe
Hizo habari za watutsi kuuliwa ni matango pori. Ukweli ni kuwa katika mwaka huo 1994 idadi ya watutsi wote ndani ya nchi (Rwanda) ilikuwa haizidi laki nane lakini ajabu idadi ya watu waliofariki ni zaidi ya milioni moja!!! Hapo unapata picha kuwa yalikuwa mauaji ya umma yasiyoangalia huyu ni nani (walishambuliana) na yawezekana ni wahutu wengi waliouawa (kumbuka bado masalia ya watutsi yalibaki na ndiyo hao wanaoongoza nchi leo)Samahani wakuu naomba mnijuze hapa
Katika mauaji ya Rwanda inaonekana waliolengwa na kuuliwa zaidi ni watutsi yaani ni kama watutsi walikua wapokea kipigo tu mwanzo mwisho
Sasa ikawaje tena baada ya hapo Rais wa rwanda akawa Mtutsi
Inamaana wahutu pamoja na kujipigania na kuua wahutsi bado hawakuweza kusimamisha kiongozi wa kihutu
Naona KG ndo mbabe sasa, Kwahiyo hutu walistruggle for nothing
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndiyo ukweli.Mkuu yale hayakuwa mauaji dhidi ya watutsi tu bali ilikuwa ni VITA yaani wakati wahutu wanachinja watutsi na hao Watutsi wanachinja wahutu kutumia vikundi vyao vya waasi mfano INTEREHAMWE/FDLR,APERHUTU kwa Wahutu na be it UPRONA/RPF kwa watutsi na ndio maana kule Uganda kwenye mitaala ya shule haiitwi Rwanda genocide kule tulisoma inaitwa Rwanda civil war yaani VITA sio Mauaji!!
Ila yaonekana kagame alikua kajipanga zaidi hivyo baada ya kushinda vita naye akalipiza kisasi akawachinja hao wahutu wakakimbilia DRC ambapo aliwafuata na kuwateketeza na tokea hapo nguvu ikahama kutoka kwa Wahutu ikaja kwa watutsi na imekua hivyo mpaka leo.
Wahutu sio kwamba wali-fight for nothing" ila walishashinda vita tokea 1959 na wakajikomboa kutoka mikono ya watutsi so walienjoy uhuru wao mpaka 1990 ambapo uvamizi wa Watutsi ulianza. Hivyo ile vita ilikua ni ya kujilinda zaidi dhidi ya uvamizi wa watutsi na sio kuvamia watutsi kama unavyodhani. Yaani kama watutsi wasingetishia kuvamia Rwanda kulikua hakuna haja ya wao kuwaua maana madaraka yalikua kwa wahutu.
Hope umepata picha mkuu
Achan naye mbona yeye hajawahi kuleta hapa tu some, watu wa hivyo wapo wengi lazima katize mbele ya mtuMpaka Sasa na viewers 123k .comment kwenye huu uzi ukiwemo wewe mwenyewe 1k .maanake watu wameappriciate na hiki nachoondika humu na nilitarajia hilo ,Sasa Kama wewe bingwa njoo na uzi wako wowote ukifikisha nusu ya viewers wangu mpaka Sasa nasimamisha hii stori nafanya mengine umesikia Tingo wasalimie mwetu(kasubalesa-lumbumbashi)
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitutsi wala kihutu, wote wanazungumza lugha moja (kinyarwanda)Kwahiyo kuna kitusi na kihutu si ndio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] makambi ya kihutu mtusi hawezi kanyaga, ila ya watusi mhutu anafika tu mhutu anamuua hivi hivi mtusiUsimchukie yeyote Kati ya hao Bali waombee tu kwa mungu siku moja waelewane , nilikuwa Benako_ngara kwenye mishe zangu siku moja nilikuwa na muuliza dada moja kwa kitusi tukiwa kwenye mgahawa unaonaje itungwe Sheria kila Mtusi lazima amuoe Mhutu na Mhutu lazima amuoe mtu jibu alilonijibu nusu ngumu zirushwe aise hapo ni Tanzania he ingekuwa Rwanda so anganipeleka lockup
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa mhutu huyo maana niwabishi sana , halafu wanajiita wahaWewe humu kuna unalotafuta huna lolote umeingia humu kila mtu unamkwaza sasa tumekushtukia badala ya hii comment sikujibu na nawashauri wote unaowatukana wakupuuze mnyarwanda.
Moderate hutu pia waliuwawa. Na wahutu wenzao na jeshi la kagame baada ya kuingia ndani ya rwanda.si sahihi kusema tutsi tuu ndio waliuwawa. Pia kuna raia wa nchi nyingine ambao katika hali isiyokuwa ya kawaida jumba bovu liliwaangukia.ila walengwa hasa walikuwa watutsi.Hizo habari za watutsi kuuliwa ni matango pori. Ukweli ni kuwa katika mwaka huo 1994 idadi ya watutsi wote ndani ya nchi (Rwanda) ilikuwa haizidi laki nane lakini ajabu idadi ya watu waliofariki ni zaidi ya milioni moja!!! Hapo unapata picha kuwa yalikuwa mauaji ya umma yasiyoangalia huyu ni nani (walishambuliana) na yawezekana ni wahutu wengi waliouawa (kumbuka bado masalia ya watutsi yalibaki na ndiyo hao wanaoongoza nchi leo)
Sent using Jamii Forums mobile app
Sitaenda mbinguni..ana familia ya watoto 4.alioa mtanzania.sitaki kuwa chanzo cha matatizo ya hii familia.umemripoti mamlaka husika?,wewe pia ni shemu ya tatizo
Umemjibu sahihi.Nadhani ni bora ujikite zaid katika kuelezea story yako ya uliyoyashuhudia mwenyewe huko kwa PK hawa watu wengine wanakuja kukutoa tu kwenye reli kujibizana nao ni matumizi mabaya ya muda maana unachokieleza ni uliyoyashuhudia mwenyewe ukiwa huko na sio historia ya machafuko ya Rwanda
Umeandika kitu cha maana sana. Watu pekee wanaopenda kuongelea mambo ya ukanda na kuonewa ni watu wa kaskazini na kuwa specific ni wachaga na ilikujificha wanasema kanda ya kaskazini lakini ukifuatilia makabila kama ya wamaasai, wambulu, wameru,wairaq, wapare hawana hiyo superior mentality bali wanaburuzwa kwenye issue za ukanda na wachaga. Hii tabia inawafanya wachukiwe na kunyimwa fursa kama Urais. Ushauri wangu kwao ni bora waachane nayo kwasababu inaleta matokeo hasi kuliko chanya.Hayo mambo mnayaona nyie watu wa kaskazini na hii yote ni kutokana na kujina nyie ni special kwa hiyo mnaona kama mnaonewa na utawala huu.
Sijawahi kusikia mtu wa kusini akilalamikia ukanda isipokuwa malalamiko aina hiyo utayasikia kwa mkaskazini pekee.
Sasa huo ukanda ni kati ya kanda ya ziwa na kaskazini tu au unatuhusu hata sisi wa mikoa ya kusini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Uganda lazima itishike sababu wahutu wanajua kuwa M7 ndo alowasaidia kwa hali na mali RPF (watutsi) wakaweza kuchukua nchi. PK ni miongoni mwa vijana wa kitutsi waliomueka madarakani M7 na yeye akaamua kulipa fadhila. Lakini inasemekana M7 ni mtusti au ana vinasaba vya hilo kabila.Mfano Rwanda after kagame akaingia muhutu Uganda itatishika na nn..why Museven aogope muhutu..,?
Sent using Jamii Forums mobile app
PK na wanyamulenge wenzake ndo waliomwingiza madarakani M7 kwaiyo ulikua ni mwendelezo wa kusaidiana tuUganda lazima itishike sababu wahutu wanajua kuwa M7 ndo alowasaidia kwa hali na mali RPF (watutsi) wakaweza kuchukua nchi. PK ni miongoni mwa vijana wa kitutsi waliomueka madarakani M7 na yeye akaamua kulipa fadhila. Lakini inasemekana M7 ni mtusti au ana vinasaba vya hilo kabila.
Sent using Jamii Forums mobile app
inaelekea kabila lako ni inferior sanaDada umeongea kitu kizuri sana ndio maana mimi huwa nasema pamoja na kwamba Magu ana makosa yake, lakini ukisikia makelele mengi ya kumtukana na kumlaumu, mengi ya hayo makelele yanatoka kwa lile kabila lililojiona special, lilojiona wao ndio wamesoma, wao ndio wanajua biashara, wao ndio wanajua kuajiri na kuajiriwa kwenye ofisi za umma.
Magufuli kawakomesha na hii si kuwaonea bali kuepusha kama yale ya Rwanda.
Sent using Jamii Forums mobile app