Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Basi tunasubiri story yako mkuu ikiisha hii asante sana kumbe na wewe ulikuwa huko
 
Na Chisekedi anaungwa mkono na PK? Au historia imeishia kwa Joseph Kabila?
Nachoamini mimi hizi zote ni consipiracy theories. Nimewahi kusoma makala fulani ilikuwa inamuelezea Kabila Jr, na inaonesha kabila aliishi Tanzania na mdogo wake wa kike. Makala hiyo imeeleza jinsi Kabila Jr alivokuwa akienda msituni mara kadhaa kuungana na waasi.

Halafu pamoja na jinsi USA anafaidika na DRC mbona USA huyo huyo alimkodolea macho sana Kabila ili aondoke madarakani.
 
wewe nawe babu zima unakua na mishebeduo kama demu.
Ukiambiwa fact kubali, wengi tumeshakushtukia tangu mwanzo.

Ulikua unabwabwaja ukidhani hakuna wanaojua story ya Rwanda kuliko wewe imekula kwako 😅😅😅😅😅
Kwani yeye kasema Rwanda alikuwa peke yake.
Wewe ni mtusi umetumwa kuchafua uzi hapa sio Rw .
 

mkuu kwanza nikushukru kwa uchambuzi, isivyo bahati mambo ya diplomatic ethics yanamlolongo mrefu sanA, kiasi kwamba ukitizama kwa makini Bossless amejarb tu kuelezA yale mambo kwa juujuu sana....

hvyo upo ukwel lakin si ukwel wote ila tukio au matukio ni hAlisi.... wakati mwingin maadili ya kazi yAnazua kusemA kitu maana ukikisemA hicho kitu hAtA kama una id iliyojificha waki track wanajua ni nani kasema.....

b
 
Daah yan wewe nakujua kbs
Mimi bi mkubwà wangu kakulia wazani

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hujafuatilia simulizi vizuri kumbe

Amesema wakati wanarudi Mpaka wa Tanzania na Rwanda ulikuwa umefungwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhusu swali lako namba 5 Diplomats wengi huwa ni watu wa Usalama wa Taifa kama utakuwa mfuatiliaji wa mambo utakuwa unalijua hili

Na nikufichulie siri nyingine moja ya style ya maisha ya Usalama wa Taifa huwa wanasafiri sana nje ya nchi na hawafanyi kazi moja tu huwa wanakuwa attached maeneo mengi tofauti tofauti

Rejea post alizokuwepo mkurugenzi mkuu wa usalama wa taifa wa sasa Diwani Msuya (alipanda vyeo haraka na huko Polisi mara akawa ADC wa IGP mara akaja kuwa RPC, akapanda fasta kuwa DCI, akaenda kuwa RAS Kagera, akaja kuwa mkurugenzi mkuu wa Takukuru mara amekuwa mkurugenzi mkuu wa Usalama wa Taifa)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa mkuu,kabarebe yuko chini ya uangalizi mpaka sasa. Vyeo vyote vya kijeshi hana
 
Hapo mwishoni unamaanisha mkuu wetu yupi akiondoka?
 
Laurent Kabila akiwa Tanzania makazi yake na familia yalikuwa pale Mzinga way, Oysterbay jirani kabisa na zilipo ofisi za United Nations Umoja House.
 
Mkuu isijekuwa msimuliaji alinusa harufu ya "yajayo yanafurahisha" kama hizi comments za sasa zilivyo hivyo akaona njia ya kukwepa aibu ni kusababisha simu yake "kuharibika" na kuamua kutumia ya mamsap wake ili kumalizia stori kwa kulipualipua? Ila kama sehemu kubwa katulisha matango Mungu anamwona maana wengine tuliamini kwa 95%.
 
Kuna siku nilikuwa natoka Bujumbura naelekea Bukoba, nilipanda gari na wacongo man aisee ziliibuka story za kagame sijui vita vya congo, wale wacongo wanamchukia Kagame mpaka kupitiliza, leo ndio nimepata mwanga kamili kwann wacongoman hawampend Kagema
Kwa stori hii kumbe wanovuruga amani Congo ni Museven na Kagame.

Kenya, Tz, Congo na nchi zingine zinazozunguka maziwa makuu inabidi ziungane kuwaangamiza Kagame na Museven

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mazingira ya Joseph Kabila kupewa urais mara tu baada ya kifo cha "baba yake" yalikuwa na utata sana kwa wengi ambao hatukuujua ukweli uliojificha.
 
Hujafuatilia simulizi vizuri kumbe

Amesema wakati wanarudi Mpaka wa Tanzania na Rwanda ulikuwa umefungwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikumbuki Kama alisema hivyo katika simulizi yake Ila ninachojua mimi ambacho ni FACT ni kwamba maelfu na maelfu ya wakimbizi wahutu kwa watutsi walivuka border ya Rusumo toka rwanda na kupokelewa Tanzania kati ya Apr mpaka July 1994, ambapo zilianzishwa kambi za wakimbizi chini ya Uangalizi wa UNHCR, kulikua na kambi za wakimbizi Benako, Kyerwa Karagwe, Ngara pamoja na Rulenge.

Pia ikumbukwe kwamba hakuna border ya nchi kavu kati ya Rwanda na Tanzania zaid ya Daraja la Rusumo, kwingine kote tanzania na rwanda inatenganishwa na maji ya mto kagera. Border ni moja tu pale Rusumo darajani.

Sipingani na simulizi ya mtoa mada. Ni kweli anayosema yalitokea. Na anatoa anaglizo ili tuwe makini yasije yakajirudia tena either rwanda au nchi yoyote ile ya jirani. Siko hapa kupingana nae ila kusupport alichosimulia ila pale nilipoona kuna utofauti ndipo nilipohighlight. Tofauti ni ndogo sana ambazo pia anaweza zitolea maelezo zikaeleweka otherwise kila kitu kiko sawa. Historia na vizazi vijavyo vitatuhukumu tusipoweka haya mambo sawa.
 
Bonge la story aisee.. mkuu hongera sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mazingira ya Joseph Kabila kupewa urais mara tu baada ya kifo cha "baba yake" yalikuwa na utata sana kwa wengi ambao hatukuujua ukweli uliojificha.
Alishaandaliwa muda kuchukua madaraka toka Kigali, na wakati Baba yake anauawa hakuwepo DRC. 10 days baada ya baba yake kufariki alitua Kinshasa na ndege toka Kigali Rwanda na kukabidhiwa nchi. Rwanda ina mikono mrefu sana katika siasa za Congo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…