Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Inasikitisha Sana wanafikiria kabila ndo linaloleta msosi mezani ukiona mtu ame progress lazima ame hustle Sana. Kazi na ubunifu ni mkombozi wa umaskini, wengine hujiaminisha wengine wameiba wamefanikiwa kwanini na wao wasiibe wafanikiwe?
Hyo corona mbona imefika kwetu na idadi inaongeza Hadi wizara imekuwa kimya.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenichekesha eti naelekea Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mugabi= mwanaume (bibi na babu yangu wazaa mama ni warundi)
Mama yangu mzazi pia nae kazaliwa Burundi akifuatiwa na wajomba zangu wawili
Walikuja Tanzania kama MANAMBA (sijui tafsiri sahihi ya hili neno) Wajuzi naomba ufafanuzi
Nakumbuka nilipofuatilia kitambulisho cha uraia nilipata usumbufu fulani hivi haswa na majina yangu yote ninayotumia yana asili ya kitaliano na kikatoliki (na burundi kule wengi ni wakatoliki dhehebu ambalo makao makuu yake yapo Italy)
Mwaka 2014 uhamiaji walikuja kufanya uchunguzi kuhusu kesi ya binamu yangu ambaye alikua Diwani kigoma(kupitia chama cha zitto kabwe) ila alishinda kesi

Au basi wacha niishie hapa nisije fungua code bure mkaanza kunifuatilia na mimi
 
Manamba- wafanyakazi wa shambani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Naomba kuuliza

Hivi wanafunzi wa Kinyarwanda huwa wanasoma hizi Rwanda Genocide na Civil Wars mashuleni?
Mtaala wa Rwanda tokea 2016 unaruhusu sio tu kuendelea kufundishwa kwenye somo la history ila hadi masomo mengine!!

Ila shida imehodhiwa kwa matakwa ya kuwatukuza watutsi na RPF. Kwamba genocide iliua watutsi pekee na wahutu waliopinga mauaji!! Ila RPF haikuua mtu kabisa??

Uganda huko ndio inafundishwa Darasani bila unafki. History 1 kuna topic ya Rwanda civil war inaongelea jinsi Watutsi walivyokua na jeuri na kutesa wahutu. Na hawaiiti genocide ila Civil war na kwamba watutsi walivamia na wahutu walijilinda.

Cha kushangaza pia kuna topic ya Nyerere kwamba ni dikteta. Na aliua waganda wengi kuliko hata Idd Amin, lakini wakati huo huo Museveni hatajwi kwenye list ya madikteta!!

Kazi kwelikweli

Cc The Transporter
 
Katika huu uzi kwa maelezo mengi ya mwandishi sijaona sababu ya kuficha jina la balozi kwa kuwa hakukuwa na jambo lolote illegal humu.why hiding the name?ikiwa huyo balozi alifanya jambo la kishujaa kama hilo why afichwe? But pia inawezekana mwandishi ameathiriwa sana na kucheck movies au kusoma novels hivyo akajikuta anaingiza ingiza mambo hayo ambayo ni fiction kuleta utamu.
 
Alijichanganya na pengine haelewi. Aende Yemen akaangalie wanaouana ni dini gani. Somalia na Sudano majority ni dini gani

Mkuu unazungumzia uislam wa Rwanda, Tanzania au duniani kote?
Kule Zanzibar waislam wanabaguana sababu ya siasa, ethnic (upemba uarabu na uunguja ubantu).
Mashariki ya kati wanauwana kati ya waislam wa Shia na wa Sunni.

Mkuu pitia upya taarifa zako.
 
Duuuh..
 
Hapo kwa Nyerere mambo ni moto hahahahhaahha

 
Ww Sasa unapuyanga kwahiyo panya road walipandikizwa na wazungu,?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…