Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Kitu nimejifunza hadi sasa:
1. Kutajwa kwa Dar, Nairobi, Kampala, Kinshasa, Ufaransa, Ubeligiji na Marekani, ni dhahiri vita haikuwa ya watusi na wahutu peke yao. Majabari ya vita hiyo yalikuwa nje ya Rwanda.

2. Vita si ya kujaribu kabisa kwani shetani hufanya kazi mwenyewe badala ya kuwatuma wasaidizi wake.

3. Kwamba malori yalipita juu miili ilozagaa barabarani, ni ishara kuwa mapigano Rwanda yalifikia hatua ambayo pengine ulimwengu haukuelezwa ukweli wa kilichoendelea huko na hivyo kukosa usaidizi stahiki wakati muafaka.

4. Ubalozi wa Tanzania kuwa kimbilio, na kutoshambuliwa kama ilivyokuwa kwa balozi nyinginezo kunatia mashaka iwapo hatukuwa washirika muhimu katika vita hiyo.

5. Media, hasa redio ni chombo hatari mno kikishindwa kufuata misingi bora ya kiutendaji.

Mwisho kuliko vita ije hapa kwetu bora CCM watawale milele.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo mwisho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na namna kagame anafanya sasa anakuwa kama ametega time bomb! Muda wake ukiisha au akifa ...it will be time.. the bomb to explode..mauaji ya kimbari yatatokea tena..hutu ni wengi sana kwa population 80%.hivyo kama tutsi wajanja wakiona kagame anakwenda halijojo..inabidi wakimbie vibaya sana[emoji23][emoji23].

Sent using Jamii Forums mobile app
Na mimi hilo wazo limenijia, naona bado hakuna amani ya kweli moyoni baina ya haya makabila mawili, nahisi tu kuwa watawarudi watutsi pindi PG akiachia madaraka.

Nchi za kiafrika kuwa na makabila mawili tu ni janga kubwa sana.
 
Kaka hebu fafanua sababu ya hiyo 9.9%
Hakuna uhakika wa 100% nani alihusika kudungua hiyo ndege...jeshi la hutu 80% .kwakuwa mpango wa mauaji ulishapangwa na rais alitaka mazungumzo ya amani alionekana kama msaliti pia.kwahiyo aliaungushiwa jumba bovu ili hutu wapate sababu ya kuanzisha mauaji.kina kagame 10% ( Hakuna sababu) .tz 0.1%.( hakuna sababu).museveni 9.9% ( ipo sababu).

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well spoken kiongozi. Na nikwambie kitu mara baada ya ndege ile kushambuliwa na kuuawa kwa marais hao mtutsi yeyote aliyekuwa ughaibuni alifanya sherehe kubwa au ndogo, kwa uwazi au kwa usiri kufurahia tukio hilo.

Wiki chache sana kabla ya tukio la ndege kutunguliwa kulikuwa na mkutano mkubwa sana pale jijini Mwanza uliowakutanisha watutsi wote kutoka kanda yote ya ziwa. Mkutano huo mkubwa na wa aina yake ulifanyika pale Vijana Social Hall jirani na uwanja wa mpira wa CCM Kirumba. Lango kuu kulikuwa na udhibiti mkubwa sana na walioruhusiwa kuingia ndani ni watutsi pekee yake.

Hata hivyo mimi nikiwa nje nilibahatika kuwaona watu fulani watutsi waliokuwa wakiishi Mwanza kipindi hicho kwa kivuli cha wafanyabiashara na wengine watumishi wa serikali waliokuwa na nyadhifa kubwa kubwa kwenye taasisi mbalimbali za serikali wakihudhuria mkutano huo ulioashiria kwamba kuna jambo kubwa walikuwa wanapanga kulitekeleza, wanataarifiwa au kuwekana sawa. Kiufupi hakuna mtutsi yeyote aliyekuwa na umri wa zaidi ya miaka 18 ambaye hakuhudhuria mkutano huo pasipokuwa na sababu maalumu maana kulikuwa na uhamasishaji sana ili wahudhurie bila kukosa.

Baada ya vifo vya marais hao wawili, mauaji ya kimbari yaliyofuatia na baadae watutsi wengi kurudi kwao Rwanda, wengi wa watu hao niliowafahamu waliokuwa katika mkutano huo walipata nyadhifa kubwa kubwa katika serikali ya Rwanda.

Hata baadhi ya watu nchini (watutsi) waliokamatwa kwa kudaiwa kufanya sherehe za waziwazi kutokana na furaha waliyokuwa nayo baada ya kuuawa kwa marais hao, baadae waliachiwa huru kwa amri kutoka mamlaka za juu. Ndiyo maana kuna speculations za hapa na pale kwamba hata TZ kuna upande ilikuwa ikipendelea kwenye yale majadiliano yaliyokuwa yakiendelea ili kuleta muafaka wa amani/kiuongozi.
Naelewa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii story inachosha.. sehemu ya 2 haifunguki....ni kazi kutafuta
 
So una maana nanii ni Mhutu?
ĹMtutsi huwa mrefu hewani au wa wastani.pua ndefu ya kisomali.ngozi nzuri laini.kama ni mwanamke hubeba hipsi za maana.nywele nzuri pia kiufupi huwa ni wenye mvuto.(pisi kali).hutu huwa vijeba .hawana mvuto nywele kipilipili na pua pana.wengi ni weusi tititii..mademu zao vipori[emoji85][emoji85][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na mimi hilo wazo limenijia, naona bado hakuna amani ya kweli moyoni baina ya haya makabila mawili, nahisi tu kuwa watawarudi watutsi pindi PG akiachia madaraka.

Nchi za kiafrika kuwa na makabila mawili tu ni janga kubwa sana.
Acha tu mzee baba mpaka sasa kuna mauaji ya kiholela yanaendelea kimya kimya.kuokota mtu kauwawa ni kawaida tu rwanda.ila ndio kimyakimya.amani iliyopo ni ya kuingiza kisiasa tu.watu wana hasira mioyoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hitimisho lako nilakijinga sana, huna tofauti na bashite wewe

Back
Top Bottom