Sinunui tena simu ya Huawei

Hahahahahah...kwa staili hii siwez kununa kwakwel
 

Nikisema umetoroka kuendelea na dozi pale milembe hospital ntakuwa cjakosea

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
watakao msikiliza huyo empty set labda aliowashika akili lakini wenye akili zao kama mimi kamwe hatuwezi kushikwa masikio na mburula sampuli ya wema,ni mwepesi kihoja mno.

Wajinga wajinga ndo wanaoshtushwa na huyo khba..na kumfagilia..na team wema wengi ni wadada wa saloon na vijiweni..
 

Hoja yako ni ya kipumbavu sana...bora ingekuwa ya kijinga kuliko kuwa ya kipumbavu..

Huawei wako na simu zenye specifications za ukweli kushinda hata samsung na iphone..

Tafuta huawei kuanzia P6 uone sio unaropoka tu kama umebanwa na nnya
 
Mradi nanunua kwa pesa yangu,nani kasema nini Sio kigezo!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…