Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
leo nimewahua akina huawei na tecno....povu la wapa litawatoka sasa tusiseme ukweli lolowapi kuja hapa
Halafu humu ndani kuna mtu anaitwa sijui DINAZARDE sijui nini yeye anadhani anajua kuchonga....haanzishi mada ila kuponda vya wenzake au kwa kuwa ni MBULUSHI WA IGURUSI MBEYA!!
Jamani mbna huawei yangu haipigi picha
Bila kunitaja hupumuiii shogaaaa,nyie mshazoea kusifia hadi upuuzii wa mbeya kwenye lift moja wapo sanaa humu
Teh teh kama nakuboa nitupie IL maana naandika nitakacho sio mtakacho
mbeya kuna lift moja????, mweeee jaman had huruma duuuu
si unaona sasa hamia AIRTELL!!
Hhhhaaa eeee siku inazinduliwa ilikua ni shidaaaa ni moja tuuu
Hakuna kitu kama hcho....hyo promo tu