Sinunui tena simu ya Huawei

Sinunui tena simu ya Huawei

kwa .mtu anaejua kuitafuta kwa jasho lake hawezi kuongea pumba kama hizo
 
kazoea wakina nanii walikua wakinunua iphone wakitumia likitoka toleo jipya ndo anapewa toleo la zamani
 
Mamaake mwenyewe anatumia huawei.We na bosi wako kwendeni zenu huko.
 
leo nimewahua akina huawei na tecno....povu la wapa litawatoka sasa tusiseme ukweli lolowapi kuja hapa
Halafu humu ndani kuna mtu anaitwa sijui DINAZARDE sijui nini yeye anadhani anajua kuchonga....haanzishi mada ila kuponda vya wenzake au kwa kuwa ni MBULUSHI WA IGURUSI MBEYA!!
 
Bila kunitaja hupumuiii shogaaaa,nyie mshazoea kusifia hadi upuuzii wa mbeya kwenye lift moja wapo sanaa humu
Teh teh kama nakuboa nitupie IL maana naandika nitakacho sio mtakacho
 
Bila kunitaja hupumuiii shogaaaa,nyie mshazoea kusifia hadi upuuzii wa mbeya kwenye lift moja wapo sanaa humu
Teh teh kama nakuboa nitupie IL maana naandika nitakacho sio mtakacho

mbeya kuna lift moja????, mweeee jaman had huruma duuuu
 
Mtu unayejitambua na akili unazo unaacha kitu kisa kasema wema je akiponda kuhusu kugegeda/kugegedwa mtaacha??
 
Sidhani kama wakati unapost hii thread uliushirikisha UBONGO.
 
Kuna watu wana akili fupi kama kweli.
Ubuyu nimesikia wema ametengeneza keki ya 2m for her birthday
 
Mzungu hawezi sema ujinga huo! Ndio akili za miafrika hizo, hasa Tanzania.
 
Back
Top Bottom