Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

Bil.1 kwa Pub kama La chaz inaweza onekana ya kawaida,lakini watu tunathaminisha vitu/thamani kwa kuvitazama (ndio shida ya watu wengi).

wakati sijaanza biashara siku 1 nikapta mahali nikamkuta jamaa anasajili laini kaweka mwamvuli,kiti,meza amekaa zake kama ilivyo kawaida yetu wabongo (tunathaminisha kwa macho) nikasema namimi nataka kuanza ujasiriamali kama huyu jamaa ntanunua mwamvuli hautozid 15k,kiti najua hakizd 10k,bench halizid 10k,meza haizid 10k jumla nijiandae na 45k hv.

nikaja kwenye uhalisia nikaenda kutafuta mwamvuli naambiwa mwamvuli 50,000 to 40,000 nikatoa majicho kwanza,nikakausha,nikaenda kulizia kiti cha cello naambiwa 15k,nikasema eheeee, Naenda kwenye benchi ufundi plus benchi ni 30k mzigo total ukasoma 85,000 ila kabla nilikua najua haizidi 45k (kwa hesabu zangu kichwani)

La chaz inaonekana haifiki 1b Ila tukiingia kwenye uhalisia aseee unaweza pewa 1B ukashindwa toa kitu kama Lachaz,kuna vitu vingi sana kwenye ujenzi watu hawajui ktk vitu sinaga shobo navyo n gharama ya mambo ya ujenzi ujenzi,iwe dawati,iwe kiti,iwe dirisha mimi muhusika akiniambia nimetumia shilingi Kadhaaa wala sim'bishiiii.

Naelewa ujenzi ulivyo nyoko,watu tuache thaminisha vitu kwa macho 1B kwenye biashara(ujenzi) ni pesa Ndogo mnoooo yani ukiigusa paap usipokua na akili na nini unataka unaweza jikuta umebaki na mil 100 tu halafu mzigo ndio badooooo unadai kama mil.600 zingine ili ukamilike...
 
Wewe hujaelewa wanachojadili. Wanajadili bilioni moja in relation to what? Yaani bilioni moja kwa huo ukarabati wa hiyo bar specificaly na siyo bilioni moja kwa mambo mengine uliyoelezea. Upo hapo? BTW hiyo bar ulishawahi kuiona? Una uaozefu wowote na ujenzi?
 
Nimekuelewa sana,nakuvuruga tu.
 
Sasa wewe si ulipiga mahesabu bila kujua bei halisi? Utasemaje mwavuli hauzidi 15,000 wakati hujawahi kununua wala kuulizia. Yaani unajipigia mahesabu yako kichwani tu?
 
Nitumie namba unayotumia kupokea pesa aisee.

Ubongo mkubwa sana huu
 
Hakuna bilioni moja pale tuache blah blah. Hivi ameinunua yake au kapanga kwa CH? Kwahio bar ya kupanga ndio afanye matengenezo ya bilioni moja? Kuweni serious basi.
 
Sijawahi fanya ujenzi na iyo bar naijua nje ndani haiwezi kufika thamani ya bil 1
 
Hakuna bilioni moja pale tuache blah blah. Hivi ameinunua yake au kapanga kwa CH? Kwahio bar ya kupanga ndio afanye matengenezo ya bilioni moja? Kuweni serious basi.
Hivi mfano unatumia samsung s6 edge bei yake dukani umeichukua 300k

Mimi natumia hiyo hiyo samsung s6 edge bei yake dukani huko huko nimepigwa 1M

Nikija kukwambia nimenunua hii simu yangu 1M utanikatalia kwasababu yako ulinunua 300k?

Kitu pekee kitakachoipa nguvu point yako kuwa La chaz haina thamani ya 1B ni kama wewe ni muhusika wa pale unaijua in and out

ila kama wewe si muhusika,huna hata undugu na shemeji wa mwenye la chaz itoshe tu kuachana na haya maubishi yanayoendelea hapa maana hata mimi ninaekubali La chaz inaweza kufika 1B sina uthibitisho.

na Mahakamani hoja inachukuliwa kama kuna uthibitisho,sio mambo za haiwezekani bwana haifiki thamani,ile kafanya matengenezo tuuu,nk nk tusi underestimate sana vitu ambavyo si vyetu na hatuna uhakika navyo.
 
Sasa wewe si ulipiga mahesabu bila kujua bei halisi? Utasemaje mwavuli hauzidi 15,000 wakati hujawahi kununua wala kuulizia. Yaani unajipigia mahesabu yako kichwani tu?
ni kweli nilikosea pakubwa sanaa na ndicho wanachoendelea kukosea wengine hapa kwakusema La chaz haifiki 1b wakati hawajui hata bei ya aina ya material na fundi waliotumika kudesign ile kitu pale.
 

La chaz
Ukarabati uliopo ndani ufiki milioni 30.
Tv yale maflati na vifurushi walivo weka milioni 10.
Mziki naweza kukataa maana unakuja na madj labda wa mule ndani unaweza kufika milioni 6.
Bia za na pombe kali milioni 5 unatofauti na kadepo kadogo .
 
Siasa.
 
Mtu apangishe nyumba kama bar atumie bilioni moja kuikarabati! Kwani Sinza nyumba sasa hivi bei gani? Si angemunua tu yake aikarabati.
 
Mavyuma yote pale ni chakavu, vimepigwa brush, rangi tu
Acha kunichekesha basi hahaha eti mavyuma yote chakavu pale.....wengi wanasema kila kitu ni kipya pale na original😀😀wabongo bana wacha waendelee kupiga kelele...
 
Mkuu lakini si gharama za ujenzi zinaweza kukisiwa kulingana na bei ya material? Hata mfano wa simu uliotoa siyo sahihi kwa sababu bei ya simu inajulikana na haiwezi ku-flactuate sana. Kwa hiyo simu kama inauzwa mil 1 na wewe ukija na kusema umenunua laki tatu ni lazima nitakubishia. Ingekuwa hivyo hata wanaofidiwa nyumba kupisha ujenzi wangekuwa wanajitajia bei wanayotaka na wasingeweza kubishiwa kwani wao ndiyo waliojenga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…