Maya Angelou
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 1,086
- 2,576
Ivi nawee umenimiss kama nilivyokumiss mimi ?.
Nichekeshe kidogo basi.
Umefunguliwa eeh[emoji3][emoji3]umeanza fujo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ivi nawee umenimiss kama nilivyokumiss mimi ?.
Nichekeshe kidogo basi.
Sasa je, lazima ijulikane ,nmefunguliwaUmefunguliwa eeh[emoji3][emoji3]umeanza fujo
Kwa ule Ujenzi Bima lazima wamzingue.. Wakati ameweka yale Makuti alikuwa hana Bima pia.. sababu hiyo hiyo..Mazoea ni mabaya sana. Yeye ndo alikua kwenye mchakato ndugu yangu. Ukiangalia ni biashara kubwa hapa. Ila ni mpambanaji. Atarudi tena. All is well
Halafu kuna kitu pengine hatukijui..Soo sad hakua na bima. He was on the process. Siyo ukumbi, siyo bar, sijui supermarket etc chenye bima. Alikua yuko kwenye mchakato ndo shetani akaingilia. ...
Kwahiyo wale walokua wanahisi maybe bima sijui kachoma and everything. Hapana. Niliamini hivyo pia. Hoping all will go well.
Msanii yupi huyo mkuuWatu wanapachukulia poa pale... Ukiingia saa tano usiku hutoki unajikuta imefika saa saa 12 asubuhi.. ukitoka mule lounge unaona nje wanafagia na msanii yule wa Nako2Nako Yuko counter ya nje anamalizia kuomba omba bia pale kwa Madon.
Wamasai na Mabaunsa wote wamelewa, Dada zangu Makahaba waliochunda nao wamelewa balaa.
Mjomba ako nlikuwa nakaa nyuma ya wanyama Hotel, naenda kupumzika tu jioni mapema niko naanzia Tegeta pale China Bar pametulia ikifika saa tano Niko La Chaaz humo ndio nafanya unyama.
Niliteketeza hela pale La Chaaz to the extent nikapachukia saana.
Vijana wanakwambia Ukiwa mkweli utapambana na geisha mpk ujute.Shida zote hizo ili uonekane mtu wa aina fulani?! What's wrong with being who you are?! Kweli nishazeeka.
Tafuteni hela ndg zangu.Halafu kuna kitu pengine hatukijui..
Nimesoma humu watu wanasema kuwa amechoma sababu anataka kufidiwa na Bima.. Na kudhani kuwa Bima kila Janga linalipa..
Mfano, kuna watu wanatengeneza ramani Gari linaibiwa hapo ana Comprehensive. Ana claim kulipwa jipya.. kikosi kazi kikiingia kazini na kubaini gari halijaibiwa kuna namna imefanyika.. Halilipwi.. Hivyo hivyo na majanga ya moto n.k.
Kwa hiyo Bima nao wapo makini hizi mambo wanazijua vizuri sana tu.
Mkuu umefukua kaburi.Vijana wanakwambia Ukiwa mkweli utapambana na geisha mpk ujute.
Ndio maisha ya kiboya hayo waliyochagua vijana laini laini.