Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

Mazoea ni mabaya sana. Yeye ndo alikua kwenye mchakato ndugu yangu. Ukiangalia ni biashara kubwa hapa. Ila ni mpambanaji. Atarudi tena. All is well
Kwa ule Ujenzi Bima lazima wamzingue.. Wakati ameweka yale Makuti alikuwa hana Bima pia.. sababu hiyo hiyo..

Watu wanakwepa Liability.
 
Halafu kuna kitu pengine hatukijui..

Nimesoma humu watu wanasema kuwa amechoma sababu anataka kufidiwa na Bima.. Na kudhani kuwa Bima kila Janga linalipa..

Mfano, kuna watu wanatengeneza ramani Gari linaibiwa hapo ana Comprehensive. Ana claim kulipwa jipya.. kikosi kazi kikiingia kazini na kubaini gari halijaibiwa kuna namna imefanyika.. Halilipwi.. Hivyo hivyo na majanga ya moto n.k.

Kwa hiyo Bima nao wapo makini hizi mambo wanazijua vizuri sana tu.
 
Msanii yupi huyo mkuu
 
Shida zote hizo ili uonekane mtu wa aina fulani?! What's wrong with being who you are?! Kweli nishazeeka.
Vijana wanakwambia Ukiwa mkweli utapambana na geisha mpk ujute.

Ndio maisha ya kiboya hayo waliyochagua vijana laini laini.
 
Tafuteni hela ndg zangu.

Ile ghorofa ya Mengi kipindi kile imeungua zilipishana pale kwake gari za zimamoto kutoka Co. Kama 5 au 6 tofauti tofauti za Security kuja kuzima huo moto.

Maana kesho yake wanajua mzee baba atawaandikia cheki fasta bila longo longo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…