Sio bure ipo namna!

Sio bure ipo namna!

Ahsante Gene wangu sijui nimemkosea nini huyu mdada wakati ndio leo namuona..
Ngoja nimuandalie tui la choo kwana..
Ukitibuka Mara moja au mbili ishakuwa nongwa kwani we hukasirishwi hdi akuanzishie Uzi lbda kama anatania[emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] mzma lkn mond!!
Nimeshakujibu wap majibu mabaya..Au unataka tuliamshe dude..
 
Naomba nitoke nje ya mada kwanza......
Hivi hiyo avatar ndio wewe.....[emoji45] [emoji45]
Maana nimeitazama tu, mawazo yakaenda mbali sana....[emoji39] [emoji39]
Utaibiwa mkuu, namjua huyo dada, hafananii hata kidogo na hiyo picha... Ila ni akili ya biashara tu
 
Huyu akinipa namba hata awepo wapi namfata[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Utakua kama nzi anapo fia kwenye kidonda....[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Basi ujue ana account maarufu humu kashindwa kukuanzishia thread kwa account hio
Nishamjua huyo ni nani bahat mbaya sina siri huyo ni MAHONDAW!!! alishakuja na uzi kua amevutiwa na Kile kibwana chake kikatuni cha Penguin of Madagascar
 
Hongera mondray kama kweli ni yeye jua anakuogopa sana kwa ID yake maarufu kaamua kuja kukusifia kiaina kwa ID ngeni
Nishamjua huyo ni nani bahat mbaya sina siri huyo ni MAHONDAW!!! alishakuja na uzi kua amevutiwa na Kile kibwana chake kikatuni cha Penguin of Madagascar
 
Nashanga Gene huyo ni MAHONDAW but the way niko poa naona uliamua kukausha mazima..
Ukitibuka Mara moja au mbili ishakuwa nongwa kwani we hukasirishwi hdi akuanzishie Uzi lbda kama anatania[emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] mzma lkn mond!!
 
Namshangaa maana hata hakunitaja alitaka nisijue kumbe mm nisha
Hongera mondray kama kweli ni yeye jua anakuogopa sana kwa ID yake maarufu kaamua kuja kukusifia kiaina kwa ID ngeni
 
Back
Top Bottom