Sio Buzwagi tu wanaiba Dhahabu, Sudan Kusini, tani 5 zaa dhahabu zinaibiwa kila Mwaka

Sio Buzwagi tu wanaiba Dhahabu, Sudan Kusini, tani 5 zaa dhahabu zinaibiwa kila Mwaka

Mhaini

Member
Joined
Apr 8, 2024
Posts
70
Reaction score
101
Ripôti mpya iliotolewa na shirika SWISSAID imeonesha kuwa nchi ya sudan Kusini huzalisha tani 5 ya dhahabu kila mwaka, lakini hakuna dhahabu inayorekodiwa au kusafirishwa kwa njia halali, hii ikiashiria namna serikali imeshindwa kusimamia uchimbaji wa madini licha ya kuwepo kwa kanuni, hali inayotoa mwanya kwa ufisadi kutawala sekta hiyo.

Hili ndo tatizo la wawekezaji. Je, kwa Tanzania Mama Mkwe wa Mchengerwa ataweza pambana nao? Au anapambana ili wezi waibe vizuri bila kubughudhiwa?

Nini kifanyike ili Waafarika wajikomboe na Watawala wasiwe vibaraka?

Watawala wanalidhika na percent wanazopewa bila kujali taifa.
IMG-20251130-WA0027.jpg


 
Back
Top Bottom