Sio Chama wala Kibu Dee, Hofu yetu Yanga ni Moses Phiri, Sub yake inatisha kama giza

Sio Chama wala Kibu Dee, Hofu yetu Yanga ni Moses Phiri, Sub yake inatisha kama giza

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Kwanza nikiri kabisa nimewahi kumuona Kibu Dee laiv pale Sokoine uwanja wa Mbeya, ni mchezaji mzuri sana mwenye nguvu, spidi, akili, n.k. ila huyu wanaweza kummudu kimtindo jumapili.

Kwa Chama nae sio kitisho mbele ya watu kama Yao Yao.

Ila kuna huyu Noses Phiri sio wa kumchukulia poa hata kidogo, Hili mashine huwa inaingizwa dakika za 70 kwa Sub, ndani ya muda huu mfupi anaweza kuharibu mambo mengi sana,
 
Hamna lolote, Simba haina sniper kama Aziz ki tegemea kuona mipira mingi ikifia nje ya box na kugeuzwa kwenye lango la Simba.
 
Lakini Moses phiri ni No 10

Tangu Enzi za Zolan Mark
Hata Robertinho Hawa ni Professionala Coach wote wanamuweka Benchi.

Phiri ni Mshambuliaji WA pili
(Second straiker)
Au false No 9
Uwe na mshambuliaji kamili kama Baleke ALAFU uende na Phiri HAIWEZEKANI.

UDHAIFU WAKE.
1. Anapoteza sana Mipira.
2. Hawezi ku Link up team kutoka chini.
3. Hawezi kuwa Target man.
4. Anakuwa Off position ya No 10.
5.Mfupi wa kimo nk.
6.Anaanguka anguka sana.
7. Huwa anapoteana kwenye michezo mikubwa eg wakati WA Mgunda alicheza na Yanga
1-1 Azizi ki na Okrah. Hakuonekana hata dk 1

8. Majeraha ya mara kwa mara.

NB.
NILIWAAMBIA mchezaji mzuri Huwa HAUMII (si injury prone otherwise Afanyiwe Upasuaji unaomuweka Nje muda mrefu?)
Phiri anasinhizia majeraha

UIMARA.
1.Analijua sana Goli
2. Kasi.
3. Uwezo WA kutumia Miguu yote.

Phiri si MCHEZAJI MZURI.
Kama Ningekuwa kamati ya UFUNDI ama usajili Moja ya Wachezaji wa Kupunguzwa ni Moses phili.

NIKIONA mtu anamtetea Phili najua huyo mtu hajuhi Mpira
 
Kwanza nikiri kabisa nimewahi kumuona Kibu Dee laiv pale sokoine uwanja wa Mbeya, ni mchezaji mzuri sana mwenye nguvu, spidi, akili, n.k. ila huyu wanaweza kummudu kimtindo jumapili.

Kwa Chama nae sio kitisho mbele ya watu kama Yao Yao.

Ila kuna huyu Noses Phiri sio wa kumchukulia poa hata kidogo, Hili mashine huwa inaingizwa dakika za 70 kwa Sub, ndani ya muda huu mfupi anaweza kuharibu mambo mengi sana,
Mtoa post ana hoja ya msingi huyu asipuuzwe.
 
Kwanza nikiri kabisa nimewahi kumuona Kibu Dee laiv pale sokoine uwanja wa Mbeya, ni mchezaji mzuri sana mwenye nguvu, spidi, akili, n.k. ila huyu wanaweza kummudu kimtindo jumapili.

Kwa Chama nae sio kitisho mbele ya watu kama Yao Yao.

Ila kuna huyu Noses Phiri sio wa kumchukulia poa hata kidogo, Hili mashine huwa inaingizwa dakika za 70 kwa Sub, ndani ya muda huu mfupi anaweza kuharibu mambo mengi sana,
Mpaka dakika ya 70 kolokwinyo atakua keshakula bao 2.
 
Back
Top Bottom