Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Hawa wanalipwa mishahara na posho kwa kodi zetu sisi watanzania.
Ila kwa kifupi hawaendeshi chaguzi ila wanafanya maigizo ya kaole tena kwa fedha za watanzania ili kuonyesha upuuzi na ujinga wa mtu mweusi kupitia sanduku la kura.
Rai yangu leo. Naomba wafanye study tour ofisi za CHADEMA Makao Makuu na wakajifunze namna ya kuendesha chaguzi huru na za haki
Tena waende wote. Kuanzia Mwenyekiti hadi Mtumishi wa chini. La sivyo kuna siku si nyingi wataitumbukiza hii nchi kwenye machafuko maana kwa sasa watanzania wameona kupitia uchaguzi wa viongozi wa Chadema nini maana ya chaguzi huru na za haki.
Nimemaliza.