Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Kuanzia sasa kila nikiomba usiku lazima nimuombe Mungu aibue watu wenye akili huko TISS.NI kiburi Tu!! siyo kwamba hawajui. Ngoja zije SIASA za ki-mlalomlalo
Maombi yangu Mungu aibue wazalendo wenye akili kule TISS waondoe huu upuuziWanapata kiburi kutoka chama dora hivyo huwa wanachakachukuaga tu makusudi.
Ile hotuba ina ukweli kwa karibu asilimia 99.9Kuna baadhi ya waafrika huwa wanafanya ile hotuba ya kaburu Botha kuwa ya uhalisia na wakati tunao watu sahihi wa kuonesha haikuwa Sawa.
Hongera kwa cdm
Wakifanya hivyo ccm inaenda na maji asubuhi mapema

Hakuna shida ndo Demokrasia hiyoWakifanya hivyo ccm inaenda na maji asubuhi mapema
Ukisema tume ya uchaguzi ni sawa na kuiambia ccm.. Ccm wakiweza kujifunza tume itafuata mkondoHawa wanalipwa mishahara na posho kwa kodi zetu sisi watanzania.
Ila kwa kifupi hawaendeshi chaguzi ila wanafanya maigizo ya kaole tena kwa fedha za watanzania ili kuonyesha upuuzi na ujinga wa mtu mweusi kupitia sanduku la kura.
Rai yangu leo. Naomba wafanye study tour ofisi za CHADEMA Makao Makuu na wakajifunze namna ya kuendesha chaguzi huru na za haki
Tena waende wote. Kuanzia Mwenyekiti hadi Mtumishi wa chini. La sivyo kuna siku si nyingi wataitumbukiza hii nchi kwenye machafuko maana kwa sasa watanzania wameona kupitia uchaguzi wa viongozi wa Chadema nini maana ya chaguzi huru na za haki.
Nimemaliza.
Vyovyote vile. Wajifunze tu!Ukisema tume ya uchaguzi ni sawa na kuiambia ccm.. Ccm wakiweza kujifunza tume itafuata mkondo
Naunga mkono hojaHawa wanalipwa mishahara na posho kwa kodi zetu sisi watanzania.
Ila kwa kifupi hawaendeshi chaguzi ila wanafanya maigizo ya kaole tena kwa fedha za watanzania ili kuonyesha upuuzi na ujinga wa mtu mweusi kupitia sanduku la kura.
Rai yangu leo. Naomba wafanye study tour ofisi za CHADEMA Makao Makuu na wakajifunze namna ya kuendesha chaguzi huru na za haki
Tena waende wote. Kuanzia Mwenyekiti hadi Mtumishi wa chini. La sivyo kuna siku si nyingi wataitumbukiza hii nchi kwenye machafuko maana kwa sasa watanzania wameona kupitia uchaguzi wa viongozi wa Chadema nini maana ya chaguzi huru na za haki.
Nimemaliza.
Vizuri,Kuanzia sasa kila nikiomba usiku lazima nimuombe Mungu aibue watu wenye akili huko TISS.
Ngoja Luka aje akuambie Ile ya kwao ndo nzur ya wanao afiki waseme ndiyo na wasio afiki waseme sio,alaf kinafuata walio afiki wameshndaHawa wanalipwa mishahara na posho kwa kodi zetu sisi watanzania.
Ila kwa kifupi hawaendeshi chaguzi ila wanafanya maigizo ya kaole tena kwa fedha za watanzania ili kuonyesha upuuzi na ujinga wa mtu mweusi kupitia sanduku la kura.
Rai yangu leo. Naomba wafanye study tour ofisi za CHADEMA Makao Makuu na wakajifunze namna ya kuendesha chaguzi huru na za haki
Tena waende wote. Kuanzia Mwenyekiti hadi Mtumishi wa chini. La sivyo kuna siku si nyingi wataitumbukiza hii nchi kwenye machafuko maana kwa sasa watanzania wameona kupitia uchaguzi wa viongozi wa Chadema nini maana ya chaguzi huru na za haki.
Nimemaliza.
Nani mboga mboga F.C?Vizuri,
Ila usiwasahau na wale wa madoadoa broo
JwNani mboga mboga F.C?