Sio halali kuoainisha matokeo ya shule za vijijini (kata) na za mjini

Sio halali kuoainisha matokeo ya shule za vijijini (kata) na za mjini

Umutimbaru

Member
Joined
Jul 22, 2011
Posts
91
Reaction score
5
-- - -Mi naona sio halali kuoainisha matokeo ya mitihani baina ya shule za KATA (vijijini) na zili za mjini ambazo zimesheheni -walimu na vifaa vyakufundishia. Mfano shule "A" imekuwa ya 10 kati ya shule 4000 . Kumbe kati ya shule hizo 4000 zipo za vijijini ambazo wanafunzi hawakufundishwa -kikamilifu, Kuoanisha ufaulu kwa aina hiyo ni danganya toto kwa kuwa, wanafunzi katikaShule za vijijini kuna maswali yanaletwa na baraza ambayo huyo mwanafunzi hajawahi kufundishwa. Mwanafunzi huyo anapoacha kujibu swali hilo anaonekana mbele ya wasahihishaji kuwa hajui, kumbe hajawahi hata kufundishwa. Sasa huyo mwanafunzi ameanguka kweli au?-- - --
 
-- - -Mi naona sio halali kuoainisha matokeo ya mitihani baina ya shule za KATA (vijijini) na zili za mjini ambazo zimesheheni -walimu na vifaa vyakufundishia. Mfano shule "A" imekuwa ya 10 kati ya shule 4000 . Kumbe kati ya shule hizo 4000 zipo za vijijini ambazo wanafunzi hawakufundishwa -kikamilifu, Kuoanisha ufaulu kwa aina hiyo ni danganya toto kwa kuwa, wanafunzi katikaShule za vijijini kuna maswali yanaletwa na baraza ambayo huyo mwanafunzi hajawahi kufundishwa. Mwanafunzi huyo anapoacha kujibu swali hilo anaonekana mbele ya wasahihishaji kuwa hajui, kumbe hajawahi hata kufundishwa. Sasa huyo mwanafunzi ameanguka kweli au?sphotos-d.ak.fbcdn.net/hphotos-ak-ash3/856895_218484104958526_20129039_o.jpg
 
Back
Top Bottom