Nimewaza inawezekana vijana wanataka wanawake warembo kupitiliza, kuliko hali zao na huyo mrembo awe na tabia nzuri tena.Kwani wee umewaza nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😁 mlokole huyo hajui kufungua code labdaMwanaume mchoyo huyo
Mwambie afungue moyo na mkono
Kama umeweza kuwaza kuwa huyo ni mtume na nabii basi wewe ni mpumbavu moja kwa moja....Mimi ni mwanaume mwenye miaka41, nipo mzima kiafya na ni mcha MUNGU.
Niliwahi kuleta Uzi humu kuhusu kupata shida ya kupata mke sahihi, nilikuwa napata wapitaji. Sasa juzi, Kuna ushahidi nimeupata (recorded) mtu alienilea tangu mtoto, anasema, Mimi sitaoa au kuwa na familia maisha yangu yote.
Kisa nilikataa kumuoa mwanamke alienipangia..kipindi kile nilikua Sina chochote nisingeweza kumuoa..
Mind you huyu mtu ni kiongozi mkubwa kanisa Moja hapo Mwenge la mtume na nabii.
Nimeaamua kupambana nae, Kwa nguvu za MUNGU nitafanikisha hili jambo..
NAWASILISHA
Duh kumbeBro huoi ushavuka umri wa kuoa labda upewe mke uishi nae ila sio kuoa ukivuka 40 wewe ushavuka umri wa kuoa upo kwenye umri wa kupewa mke
Unafanyaje fanyajeFanya hivi
Chukua mkojo wa Ahsubui hakikisha unaunenea na kuambia kuwa na Navunja laana zote na matamko mabaya dhidi ya maisha yangu
Fanya hivi Kwa siku Saba
Hii ndo Dawa ya kuondoa hayo mambo.
UnakunywaUnafanyaje fanyaje
Mbona mungu zimekuwa nyingi, achana na kuoa kula nyapu adi shetani aone wivu.Mimi ni mwanaume mwenye miaka41, nipo mzima kiafya na ni mcha MUNGU.
Niliwahi kuleta Uzi humu kuhusu kupata shida ya kupata mke sahihi, nilikuwa napata wapitaji. Sasa juzi, Kuna ushahidi nimeupata (recorded) mtu alienilea tangu mtoto, anasema, Mimi sitaoa au kuwa na familia maisha yangu yote.
Kisa nilikataa kumuoa mwanamke alienipangia..kipindi kile nilikua Sina chochote nisingeweza kumuoa..
Mind you huyu mtu ni kiongozi mkubwa kanisa Moja hapo Mwenge la mtume na nabii.
Nimeaamua kupambana nae, Kwa nguvu za MUNGU nitafanikisha hili jambo..
NAWASILISHA
Nimewaza inawezekana vijana wanataka wanawake warembo kupitiliza, kuliko hali zao na huyo mrembo awe na tabia nzuri tena.
Wakati unaweza nenda hapo ngara au bunda ukaja na wife material basi limejaa😅😅
Hayo ni maandishi tu.