Sio kila kiongozi anayekufa anakuwa ameuawa, tuache mazoea

Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2020
Posts
7,799
Reaction score
14,215
Habari zenu wanaJF wenzangu,

Nchini Tanzania, na Afrika kwa ujumla kumekuwa na dhana potofu ya kufikiri kwamba kila mtu mkubwa (kimamlaka) anapokuwa amekufa, basi anakuwa ameuwawa aidha na baadhi ya viongozi katika chama, jeshi au serikali.

Zamani nilikuwa najua kwamba haya mambo yalikuwa yanazushwa na watanzania tu waliopo ndani ya Tanzania na nje ya Tanzania. Lakini kadri nilivyojaaliwa kutoka nje ya Tanzania na kufuatilia habari mbali mbali ambazo zinahusiana na yale yaliopo nje ya Tanzania, ndo nimeweza kufahamu kuwa hii dhana haipo kwa watanzania tu bali ni kwa nchi nyingi ambazo nyingine karibu na Tanzania.

Kabla ya kuzitaja nchi hizo, na watu ambao vifo vyao vinahusishwa na watu wengine (badala ya mw/Mungu mwenyewe), acha kwanza nianze na vifo vilivyotokea Tanzania na baadhi ya watu kuhusisha vifo hivyo na mkono wa mtu/watu fulani, ambao pengine hata hawakusika na chochote katika vifo hivyo.

1. Edward Moringe Sokoine.
Hayati Edward Moringe Sokoine alikuwa waziri mkuu wa JMT. Alikufa kwa ajali ya gari, baada ya gari aliyokuwa amepanda kugongwa na Lori. kifo chake kilihusishwa na "mzee mchonga". Watu wakadai kwamba utendaji wake mzuri wa kazi, uaminifu wake na umaarufu ambao alianza kuupata katika kuisimamia serikali ipasavyo, vilimfanya mzee mchonga ambae muda huo hakuwa na mawazo ya kung'atuka, ahofie nafasi yake ya unamba moja nchini. Hivyo ili kumnyamanzisha mazima, ndo akatengeneza mazingira ambayo yalikuja kuondoka na maisha ya waziri mkuu huyo ambae alikuwa na misimamo thabidi na mchapakazi kuliko mawaziri wengine waliokuwa wamepita kabla yake.

2. Kolimba
Hayati Kolimba alikuwa katibu mkuu wa CCM, alikuwa ni mzee machachari, msema kweli (sio mnafiki) mpenda mabadiliko chamani nk. Alikufa ghafla kwa mshituko wa moyo. Baada ya kifo hicho, watu wakaanza kudai kuwa ameuwawa na chama chake mwenyewe. Hili likaenda, hadi leo kuna watu wanaamini kuwa kweli ndugu Kolimba aliuwawa na watu wa chama chake.

3. Mwl Julius Nyerere
Hayati mwl Nyerere, baba yetu wa taifa na muasisi namba 1 wa taifa letu. Yeye aliumwa na kufariki huko nchini Uingereza. Ila kama kawaida watu wakahusisha kifo hicho na skendo za kuuwawa. Wakadai kuwa mzee alitangulizwa kuzima na kijana wake mwenyewe mzee wa "ukweli na uwazi", ili apate nafasi ya kufanya mambo yake bila kushikiwa remote na mtu yoyote. Mpaka leo hatujui kama ni kweli au dhana yetu tu watanzania na waafrika kwa ujumla.

4. Dr Omary Ali Juma.
Hayati Dr Omary Ali Juma, kifo chake kilishtua watu wengi kwa sababu.. kwanza alikuwa ni makamu wa raisi (kiongozi wa pili kiukubwa nchini baada ya raisi), pili ikasemekana kuwa alikufa kwa mshtuko wa ugonjwa wa moyo ambao watu walihisi hakuwahi kuwa na huo ugonjwa. Baada ya kifo chake, watu wakadai kuwa "mzee wa ukweli na uwazi", amefanya yake baada ya kutokuwepo maelewano kati yao kimya kimya, haswa kuhusu maswala ya Muungano nk.

5. ChachaWangwe.
Hayati ChachaWangwe kifo chake kilisababisha mpaka mwenyekiti wake wa chama "mzee wa kubadili gia angani" kuzomewa na kufukuzwa msibani, baada ya mwenyekiti huyo kuhusishwa na kifo chake kwa madai ya ChachaWangwe kutaka kuwa mwenyekiti wa chama chake taifa.

6. Benjamin Mkapa.
Hayati Mkapa na yeye kifo chake kilihusishwa na namba moja wa nchi, kwa kudai kwamba mzee huyo alikuwa ashaanza kuoneshwa kutopendezewa na kijana wake kuendesha mambo kwa mkono wa chuma. Watu wakaanza kuhusisha hotuba fulan aliyoitoa katika chuo kikuu cha dodoma. Na kwamba namba 1 akaona bora amtangulize mzee huyo ili kuweka mambo yake sawa bila kelele za mtu mkubwa nyuma yake.

7. John Pombe Magufuli.
Hayati John P. Magufuli kifo chake hakijaigusa tu Tanzania bali dunia nzima kwa ujumla. Hata huku uhamishoni tuliopo huku tulikuwa tunaulizwa kuhusu kifo cha Magufuli na watu ambao hawakuwahi hata kufikiria kufika Tanzania. Kifo chake kikahusishwa na "mzee wa tabasamu", ikadaiwa kwamba kitendo cha hayati Magufuli kukwepa kushikiwa remote na mzee wa kutasamu kilimchanganya mzee huyo kwa kuona kijana aliempa ugombea mwaka 2015 kama mwenyekiti wa chama, na kusimama kumpigia debe katika mikutano mbali mbali kipindi cha uchaguzi kama namba 1 wa nchi, leo hii hawezi kumletea dharau kwa kujifanya kwenda mbali na alipo yeye mshika remote. Hivyo akaamua afupishe tu maisha yake ili aweze kumpachika wa kwake.

Tukija kwa nchi zingine ambazo wananchi wao wana mawazo kama ya watanzania ni..

MALAWI.
Kuna jamaa zangu wa Malawi walikuwa wanadai kwamba kifo cha aliekuwa raisi wa nchi hiyo hayati Bingu Mutharika, kilitokana na mdogo wake Peter Mutharika ambae alikuwa anataka madaraka hayo toka kwa kaka ambae alikuwa ashaanza kuonesha dalili za udikteta. Hivyo aliamini kuwa kaka yake asingeweza kutoka madarakani kumpisha mtu mungine including yeye (mdogo mtu) so suluhisho ikawa kumtoa katika dunia ili yeye aingie. Baada ya purukushani za kutaka makamu wa raisi wa Bingu Mutharika mhe Joyce Banda asiapishwa kwa kigezo cha jinsia yake, ndo wanasheria wakaamua kusimamia katiba (kama ilivyotokea kwetu) Joyce Banda aliekuwa makamu wa raisi akawa raisi rasmi wa Malawi. Lakini hilo halikumkatisha tamaa Peter Mutharika kwani sasa alipambana kwa kutumia chama na ubovu wa uongozi wa raisi Banda, na kufanikiwa kuchaguliwa kuongoza Malawi baada ya Banda kuangukia pua katika uchaguzi uliofuata.

8. Peter Ngurunziza.
Hayati Peter Ngurunziza raisi wa Burundi, kuna warundi wanaamini kuwa aliuwawa na huyu wa sasa, baada ya Peter kupitisha sheria ambayo itampa mamlaka ya kuwa kiongozi wa nchi juu ya raisi (cheo kama cha ayatollah wa Iran) hivyo raisi aliekuwa anatarajiwa kuingia aliamua amuwahi mapema kabla jamaa hajakamata remote rasmi na kuanza kumpangia fanya hiki, acha kile nk.

9. CDF wa Kenya.
Marehem nimelisahau jina lake, lakini baada ya kifo chake, tayari watu huko Kenya na nje ya Kenya (wakenya) washaanza kudai kuwa namba 1 wa nchi hiyo anahusika na kifo hicho, kwani jamaa alikuwa ashaanza kuonesha kupishana na boss wake katika mambo kadhaa ya kijeshi. Hili lilithibitishwa na mtoto wa marehemu mwenyewe baada ya kupewa mike aongee jambo kuhusu kifo cha baba yake. Dogo akasema kwamba amepita pita katika mitandao ya kijamii na kukuta watu wakimhusisha namba 1 wao na kifo cha baba yake. Yeye dogo akadai kwamba walioongea ni uzushi mtupu, kwani namba 1 ni mtu ambae yuko karibu mno na familia yao, hivyo asingeweza kuwa na moyo au mawazo ya kufanya hivyo kwa baba yake.

Ki ukweli ni watu wengi waliofariki, na vifo vyao vikahusishwa na watu, badala ya Mungu mwenyewe mtoa uhai, na mchukua uhai. Ila tatizo hii dhana huwa inaenea kwa sisi waafrika tu. Sijui ni kwanini hatuamini kazi za Mungu katika kuleta na kuchukua viumbe wake!

Asanteni sana.
 
Hamna anae waawa kama yeye hakuwahi kuua wengine, hao wote ulio wataja wachunguze vizuri...utagundua mengi "what comes round always come round".
 
Na. 7 ✅
 
Kiukweli namba saba nchi nilizopita wanadai mwamba katolewa uhai na wazungu kupitia ndugu zake hata ukiwaeleza ni mpango wa Mungu hawataki kuamini walijua Africa imepata mtetezi!
 
Ukiwa mkweli sana, mnyoofu, mpinga rushwa, wizi, ufisadi na dhuluma, tambua kwamba kwako Afrika siyo mahali salama pa kuishi.

Aidha, Afrika ndio mahali pekee (nje ya Urusi & washirika wake) ambako watu wa kawaida (raia) huuliwa zaidi kwa hujuma kutoka kwa watu wanaojiita kuwa ni walinda usalama.
 
Ungeenda kwenye pointi namba 7 moja kwa moja kuhusu jiwe, umezunguka sana hadi kuwaweka kina Chacha Wangwe na Mbowe
Hata wewe umeenda kwenye hiyo point namba 7 na umeeleweka. Kuna wengine nao wataona point namba 3 na 5 zina umuhimu wake.
 
Hamna anae waawa kama yeye hakuwahi kuua wengine, hao wote ulio wataja wachunguze vizuri...utagundua mengi "what comes round always come round".
Unamaanisha nichunguze wote niliowaandika humu, au nichunguze watanzania tu pekee yao?
 
Back
Top Bottom