Sio kila kiongozi anayekufa anakuwa ameuawa, tuache mazoea

Kiukweli namba saba nchi nilizopita wanadai mwamba katolewa uhai na wazungu kupitia ndugu zake hata ukiwaeleza ni mpango wa Mungu hawataki kuamini walijua Africa imepata mtetezi!
Japo mimi sihukumu kwa kumuhusisha mtu na kifo cha namba 7. Lakini ule msiba ulinigusa mimi na watu wengi tulioona mabadiliko ya kweli kupitia kwake.

Hata raia wa nchi zingine waliguswa na msiba ule.
 
Nadharia yako kuhusu kuuawa Kwa Sokoine na ushiriki wa Mwalimu ni ya UONGO!!!
Ni wapi nilipoandika kuwa Sokoine kauwawa na mwalimu?

Hivi ulisoma kilichoandikwa kabla ya ku comment, au uli comment kwanza, halaf ndo ukasoma kilichoandikwa?

Vijana wa kizazi cha kina Diamond na Kondeboy mnakimbilia ku comment msioyajua mwisho mnavurunda.
 
Uliposema gari ya sokoine iligongana na lori nikajua hapa ni 'hewa'.
 
Kiukweli namba saba nchi nilizopita wanadai mwamba katolewa uhai na wazungu kupitia ndugu zake hata ukiwaeleza ni mpango wa Mungu hawataki kuamini walijua Africa imepata mtetezi!
Wazungu wamuue kisa nini? Kwani ni kipi ambacho wazungu walikikosa awamu yake? Kama ni madini waliendelea kuchimba, makinikia yaliachiwa, Trillion 400 hawakulipa, gesi waliendelea kuchimba, bomba la mafuta lilikubaliwa sasa wamuue ya nini? Tatizo tuna inferiority complex, yaani waache kumuua Nyerere aliyekua anapambana nao kivita kabisa wamuue yule dikteta uchwara aliyekua anategemea betri zao kusukuma moyo?
 
Umemaliza?
 
Vijana mna maneno sana aisee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Muda mwingine ni hisia tu za watu lakini Kwa mzalendo Magufuli aliuawa na msoga gang.mfano yusuph makamba alisema mwenyewe kuwa kipindi Cha magufuli mirija Yao ya kula keki Kwa mserereko ilikatwa yaani walibatizwa Kwa moto.Baada ya kifo wakaanza kuonjeshwa asali watakavyo na kukejeli marehemu Kwa kusema yeye ni mzuri hawezi kufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…