Sio kila kiongozi anayekufa anakuwa ameuawa, tuache mazoea

Pointi zenye mashiko ni namba 6 na 7 ila kwa namba 6 walimtanguliza kumuua ili kuondoa jamu maana pangechimbika kama wangemuua namba 7 na yeye namba 6 akiwa bado hai. RIP Mwamba namba 7
 
Endelea kutetea uovu,kwa kuwa huna akili.Lakin taarifa zote zipo.
 
Endelea kutetea uovu,kwa kuwa huna akili.Lakin taarifa zote zipo.
Wewe ndio huna akili. Mwaka 2008 hadi 2015 uliimbishwa wimbo wa Lowasa fisadi hafai kuwa raisi, na wewe msukule usiekuwa na akili hata ya kutofautisha siasa na uhalisia ukawa unapiga makofi na kushangilia bila kuwa na ushahidi. Ilipofika mwaka 2015 kipindi cha uchaguzi ukaashikwa masikio na kulazimishwa kukubali kuwa Lowasa sio fisadi na anafaa kuwa raisi. Wewe tena bila kutumia akili ukawa kama sukule na kuanza kuzungushwa barabarani kumpigia deki ulieambiwa kuwa ni fisadi ili awe raisi wako. Sasa hiyo ni akili au matope ya maji ya chooni.

Wengine huwa hatushikiwi akili na wanasiasa uchwara. Ukiniambia fulani aliuwawa na fulani au fulani ni fisadi, basi ulete na ushahidi ambao utanishawishi mimi mwenye akili timamu nikubaliane na wewe. Mimi siamini vimaneno uchwara vinavyotungwa kwenye mitandao na vijiwe vya kahawa.

Yani sio wa kushikiwa akili na kunilazimisha mimi niamini kile kilichotungwa na wanasiasa kwa faida zao na watoto wao wanaowasomesha huko ulaya na Marekani kupitia wajinga kama nyinyi kutumiwa kisiasa kama madaraja yao ya kufikia malengo yao.
 
Tatizo ww huna taarifa kabisa Ila unatafuta taarifa. Labda ww ni Gen Z tu, hujui chochote kabisa. Kwa sisi wakongwe wa, medani tunajua kila kitu. Kwa, hiyo kwa ww kutojua vitu usianze kuongea uongo na kuonekana huna akili. Uliza vizuri tu uelezwe.
 
Naona prof Kabudi kaligusia tena swala la dhana ya mauaji ya Sokoine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…