Sio kila mwanamke anafaa KUOLEWA wengine wameumbwa kwa ajili ya kusterehesha wanaume ukilazimisha kumuoa wa namna hiyo basi kama sio jela utakufa tu

Sio kila mwanamke anafaa KUOLEWA wengine wameumbwa kwa ajili ya kusterehesha wanaume ukilazimisha kumuoa wa namna hiyo basi kama sio jela utakufa tu

Babe la mji

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2019
Posts
983
Reaction score
2,058
Wakuu kufuatia tukio lililotokea juzi jijini mwanza kwa wanandoa kutoana uhai basi nimeona nitoe ushauri wangu kidogo kuhusu hili jambo.

Namfahamu Oswayo vizuri Sana ni mfanyabiashara wa samaki aina ya sangara na Kwa aina ya u chumi wa Tanzania ana Mali ambayo ikipigiwa hesabu sio chini ya million 500. Kwa ufupi anajiweza Sana.

Kamuwezesha marehemu mke wake kwa kumfungulia saloni nzuri hapa mwanza na ndiyo chanzo Cha huyu mwanamke kuwa maalufu mitandaoni.

Huyu bwana sio kwamba ana mke mmoja tu ngoja nisiingie Sana ndani. Lakini inavoonekana Sababu kubwa hadi mauaji ni uwekezaje alioufanya kwa mke wake na matokeo yake ikaonekana mwanamke sio mwaminifu kwenye ndoa. Kwa hiyo jamaa alimuua mke kwa Sababu ya dharau yani nimekutoa kwenye umasikini Leo unavimba na kunisaliti kwa kutumia Mali yangu na wanaume wenguline.

Ndugu zangu usije logwa ukaoa mwanamke kahaba ukazani ukimwezesha kiuchumi ataacha huo ukahaba ni big no na ndicho kimeikuta hii ndoa.

Sijahukumu lakini nimeandika ili tujifunze.

Jamaa kaacha wategemezi kibao na Mali zake kisa mwanamke kahaba.
 
"nimekutoa kwenye umasikini leo unavimba na kunisaliti na wanaume wengine kwa kutumia mali yangu?"..

Akina mama muwe mnawafunda watoto wenu juu ya tamaa ya mali za watu na muwaambie hatari iliyo mbele yao....issue hapo ni kukubali kuolewa na mtu ambaye unajua kinachokupeleka ni tamaa ya hela na maisha yake mazuri.....kama humpendi kuwa straight, huhitaji ndoa naye na umueleze huko mbele tutasumbuana maana moyo wangu hauko kwako.

Kukubali commitment huku ukijua shida ni umasikini na njaa zako ni hatari zaidi ya hatari....huyu bwana Said leo kafyatua risasi ila wapo watu anakutoa roho bila yeyote kujua kama yeye ndiye mhusika.

Wazazi tufundishe watoto madhara ya tamaa, Wazazi tuwakuze watoto kwenye maadili mema, Wazazi hasa akina mama wafundisheni watoto wakike wajue ni maana ya kuwa watoto wa kike na nafasi yao nini...MSIWAACHE WAKAFUNDISHWA NA AKINA JOYCE KIRIA, au kuwaona akina Wolper ndio marole model wao..
 
"nimekutoa kwenye umasikini leo unavimba na kunisaliti na wanaume wengine kwa kutumia mali yangu?"..

Akina mama muwe mnawafunda watoto wenu juu ya tamaa ya mali za watu na muwaambie hatari iliyo mbele yao...
Mkuu fikilia jamaa ana kama wake 4.
 
Wakuu kufuatia tukio lililotokea juzi jijini mwanza kwa wanandoa kutoana uhai basi nimeona nitoe ushauri wangu kidogo kuhusu hili jambo...
Mwanaume mpumbavu, alikuwa!

Mwanamke atastareheshana na mumewe wakiwa ndani ya ndoa, sio kwamba kuna wa kuolewa na wengine wawe nje ya ndoa na bado wastareheshane na mwanaume.

Kichwa cha mada yako, kinashadadia tabia za hovyo za hawa marehemu!
 
"nimekutoa kwenye umasikini leo unavimba na kunisaliti na wanaume wengine kwa kutumia mali yangu?"....
...huku kuna kuhukumu sana, wewe unajuaje kuwa huyo dada alikua hampendi mumewe na role model wake alikua Wolper?
 
Wakuu kufuatia tukio lililotokea juzi jijini mwanza kwa wanandoa kutoana uhai basi nimeona nitoe ushauri wangu kidogo kuhusu hili jambo...
Kinachotafutwa nini zaidi
  1. Kama ni sura basi vingine viache viendelee
  2. Kama ni vingine mbona vipo vingi tu why her!!
 
Back
Top Bottom