Sio kila Mwanamke anayekuomba pesa pindi mko kwenye mahusiano hafai kuwa mke

Endelea kujifariji wakati unaeendelea kupigwaa
 
Hakuna mwanaume asiye mhudumia mwanamke wake, ila Kuna Muda wanawake nao wanazinguaga kwa kufodge Matatizo ili wapewe pesa.

Kuomba hela sio tatizo ila kasheshe Ni kuomba omba kwa vitu ambavyo havina logic.
 
Msukuma/muhaya mpewe maua yenu mnajuakutunza hatari kuna mijitu mingine babe naomba pesa lishurua tu aliukimwi mwanaume akikuomba pesa ni liukimwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…