Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
- Thread starter
- #41
Tunawapa nyie ndio Maua yetuTupeni pesa jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunawapa nyie ndio Maua yetuTupeni pesa jamani
Tupeni pesa jamaniKwani hamuwezi kufanya kazi mpaka muombe ombe kama watoto wa form 2? Ukikwama kwanini usikope?
Akishakua ombaomba havaiSio kila mwanamke anayekuomba pesa pindi mko kwenye mahusiano kwamba hafai kuwa mke, Baadhi yao wanapitia magumu mengi mno yanayohitaji msaada wa fedha zaidi kuliko faraja, na kwakuwa anakuamini lazima akushirikishe.
Usimfikirie vibaya kama unacho msaidie
Kuolewa hamtaki ila pesa mnazitaka, mi hela yangu anakula mwanamke mwenye watoto wangu!Tupeni pesa jamani
Mwanaume lazima atimize mahitaji ya kifedha kwa mpenzi wake hilo ni wajibu!
Kwanini akuombe hela? Bila ya kukutana na wewe alikuwa anaishije?Sio kila mwanamke anayekuomba pesa pindi mko kwenye mahusiano kwamba hafai kuwa mke, Baadhi yao wanapitia magumu mengi mno yanayohitaji msaada wa fedha zaidi kuliko faraja, na kwakuwa anakuamini lazima akushirikishe.
Usimfikirie vibaya kama unacho msaidie
Hela zenyewe ngumu hivyo halafu uje ule kirahisi.Wanaume wa hivyo wamekufa waliobaki ni wachoyo[emoji31]
Hela zenyewe ngumu hivyo halafu uje ule kirahisi.
Hajawahi kukupa hata game naye kutwa anaomba hela.
Point ya kuishi nayo kwenye haya maisha.Mwanaume kutaka kumuelewa mwanamke ni kupoteza muda tu kwa sababu hawaeleweki na pia wenyewe hawaelewani.
Ni kweli kabisa.Munakula na hela hamtoi… kifupi wanaume watoaji ni wachache sana wengi wachoyo
Sawa,ili wamezidi jamani kha...Sio kila mwanamke anayekuomba pesa pindi mko kwenye mahusiano kwamba hafai kuwa mke, Baadhi yao wanapitia magumu mengi mno yanayohitaji msaada wa fedha zaidi kuliko faraja, na kwakuwa anakuamini lazima akushirikishe.
Usimfikirie vibaya kama unacho msaidie
Nyegere waituMsukuma/muhaya mpewe maua yenu mnajuakutunza hatari kuna mijitu mingine babe naomba pesa lishurua tu aliukimwi mwanaume akikuomba pesa ni liukimwi
Nipo mimi....natoa ila...mnanivunjaga mioyo wenywewMunakula na hela hamtoi… kifupi wanaume watoaji ni wachache sana wengi wachoyo
Ndiyo mkuuPoint ya kuishi nayo kwenye haya maisha.
SikuelewiNyegere waitu
Mm mhaya...hapo nimekwambia karibuSikuelewi
Nakataamahusiano ni gharama .kubali au kataa