Sio kila Mwanamke anayekuomba pesa pindi mko kwenye mahusiano hafai kuwa mke

Kwani hamuwezi kufanya kazi mpaka muombe ombe kama watoto wa form 2? Ukikwama kwanini usikope?
 
Akishakua ombaomba havai

Ananunulika
 
Kwanini akuombe hela? Bila ya kukutana na wewe alikuwa anaishije?
 
Sawa,ili wamezidi jamani kha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…