Sio kila neno ni la kufupisha inaboa sasa!

Ukinitumia msg ambayo haijafuata utaratibu wa kiuandishi hata kama una shida kiasi gani huwa naghairi automatically kukusaidia, na kama utanikuta nipo kwenye mood mbaya wala sikujibu!
 
Mimi hakuna neno linakera kama hili vepee yaani wanaonitumia sms kwa kutumia hilo huwa nawarudisha kama lilivyo au kukaa kimya.
 
Ukinitumia msg ambayo haijafuata utaratibu wa kiuandishi hata kama una shida kiasi gani huwa naghairi automatically kukusaidia, na kama utanikuta nipo kwenye mood mbaya wala sikujibu!
Wanakera kwa kiasi kikubwa
 
Naongezea siku hizi mtu kama hujui neno la kiingereza linaandikwaje kwa ufasaha.
*siriasi
*sredi
*Lokesheni
*kontradiksheni
Sometimes sio swagga ila hujui ufasaha wake linaandikwaje, mtu mzima inabidi uliandike kibongo bongo
 
[emoji23]

[emoji23]

umegusa panapostahili
 
xaxa - sasa
tory -story
mimi -mie
p -poa

yanaboa sana hasa akiyatumia mwanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…