supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
Mule mule[emoji1][emoji1] [emoji23] [emoji23][emoji23]
[emoji23]
umegusa panapostahili
Mimi mwenyewe nimo[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mule mule[emoji1][emoji1] [emoji23] [emoji23][emoji23]
[emoji23]
umegusa panapostahili
Yaaani mwingine mkubwa kabisaa...sasa kuna hii ya ' mependa' 'meondoka' 'memwambia'....'Kwene' ...Hahahaha hawa ndo wapuuzi balaa. Haiingii akilini kwanini atumie ma X X aaaaaagh...!
Mimi ndie mlevi wa hali hii [emoji125] [emoji23]Mule mule[emoji1][emoji1] [emoji23] [emoji23]
Mimi mwenyewe nimo[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hi ya mahaba sana akiongea binti utafurahiYaaani mwingine mkubwa kabisaa...sasa kuna hii ya ' mependa' 'meondoka' 'memwambia'....'Kwene' ...
Inatumika pasipo stahili ila ukiwa faragha na binti akitumia bhana utapendaNa hii;
Bwana=Bhana
Hadi mkiongea mtu anakutamkia hivyo ila ndiyo sina cha kuwafanya
Uswahilini pyuuuuuuuuuMburahati na magomeni ndio misemo yao huko
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]Mimi ndie mlevi wa hali hii [emoji125] [emoji23]
hii ni dharau sipendi mtu atumie hiv vifupime napojihiwa "P" au "K" uwa nachukia zaid ya chukizo....
Ndio wanatumia sanaUswahilini pyuuuuuuuuu
JF na FB ni alphabetism ipo officialJF
fb
cm
Kweli aisee,me napojihiwa "P" au "K" uwa nachukia zaid ya chukizo....
na cha ajabu maneno yote yanatarakimu nneHahahahaa....kuna wale wa 'xaxa' akimaanisha neno ' sasa'...khaaa!
hhahahahahahahaha dah nimecheka sanawanafupisha neno *Dogo* wanaandika (Dog) sasa inamaana gani!?
nimekubamba mkuu!Duh umenikamata mi mwenyewe
Acha nikukimbie [emoji125]nimekubamba mkuu!
KabisaIMEPENYA