Sio kila neno ni la kufupisha inaboa sasa!

Hahahaha hawa ndo wapuuzi balaa. Haiingii akilini kwanini atumie ma X X aaaaaagh...!
Yaaani mwingine mkubwa kabisaa...sasa kuna hii ya ' mependa' 'meondoka' 'memwambia'....'Kwene' ...
 
me napojihiwa "P" au "K" uwa nachukia zaid ya chukizo....
 
Na hii;
Bwana=Bhana

Hadi mkiongea mtu anakutamkia hivyo ila ndiyo sina cha kuwafanya
 
me napojihiwa "P" au "K" uwa nachukia zaid ya chukizo....
Kweli aisee,
Maana mfano neno kama "K" kwa kule chini kabisa Jukwaa la Wakubwa lina maana ingine pendwa zaidi. Sasa mtu unamwambia kitu anakujibu "K", unajiuliza Kum* inahusikaje katika haya maongezi??
 
Hao wengi wao ni kwa7bu wana2mia cm za tachi japo na mm nafpisha lakini co kwa kiwango hicho hukishidwa kuelewa hii comment jua haikuhusu tuvumiliane 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…