Haya maneno huwa karibia kila siku nayaona kwenye mitandao au wananitext aisee....
Mademu huwa nawauliza mara mbilimbili, kama ni msela namkatia au namchana namwambia andika vizuri mkuu
ww
nn
mm
yy
ss
hpn
ndy
np
hm
ntkj
cj
uciwaze
nmb
instgrm
whtsp
naje
mbn kmy
nkpnd
lv
Yaani wanakera, basi tu!