Sio kila siku unakula vyakula common

Binafsi ratiba yangu ni unpredictable....

Kutokana na matatizo mengi ya Afya siku hizi nimejitahid kuwa mwangalifu kwa kile nachokula..

Mtu unakunyw Farasi unachanganya na Karanga mbichi si unajitafutia kukaanga bandama hizo.
 
Ou hiyo supu ya pweza umenikumbushq kunq kipindi nilienda Mtwara,kuna wale wamama wanapita mtaani na samaki na pweza wale pweza walikuwa wanauza kwa bei ndogo sana nilikuwa nabeba kwa 1,500/-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…