Sio Kisiasa: Hivi Sugu kuonesha dole bungeni, unamshauri nini?

True Kabisa....
 
Kila kitu , au kitendo, kina tafsiriwa kutokana na jamii husika na mazingira, sasa binafsi naona kama wengine wame tafsiri visivyo ange ulizwa yeye mwenyewe alikua na maana gani? Arafu ndio walinganishe na wanacho fikiria ,asi hukumiwe mtu kwa ishara za viongo vya mwili wake....Maoni tuu
 
Waweke ushahidi hapa wa picture au video ya sugu tuone!
 
Vizuri kijana!
 
Icho kidole alichooesha shelia inasemaje kwenye tafsili ya kidole hicho ni hishara gani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…