Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vizuri kijana!Kila kitu , au kitendo, kina tafsiriwa kutokana na jamii husika na mazingira, sasa binafsi naona kama wengine wame tafsiri visivyo ange ulizwa yeye mwenyewe alikua na maana gani? Arafu ndio walinganishe na wanacho fikiria ,asi hukumiwe mtu kwa ishara za viongo vya mwili wake....Maoni tuu
There was a problem while playing.Inafunguka jaribu tena,..labda internet..nimeifungua imefunguka