Sio kwamba sitaki kukuoa Pamela, embu niambie nitakuoaje?

Pamela kasema bado hajauelewa ujumbe wangu
Umenikumbusha jambo, jina la huyu binti.

Pamela always ni wanawake/ mabinti fulani warembo sana kiasili, wakarimu pia wapole kiasi. Sijui huyu wako ni wa aina gani,(?) pengine ni mvumilivu ila msoto anaouona kwako hauna dalili ya kufikia ukomo.

Ukishindwa kuwa nae basi mpatie zawadi ya kudumu. Mengine mbele kwa mbele.
 

Zawadi ya kudumu😊😊
 
Umenikumbusha mrembo wangu pamera mtoto wa mama bob......πŸ˜“πŸ˜“πŸ˜“
 
Nayapitia haya, mwaka wa tano cjatimiza ahadi ata ya kwenda kutoa pesa, ngoja niendelee kuzisaka, naamin Pamela wangu ataendelea kunivumilia ili Nije nimuoe siku moja
 
Mtu mahaba a.k.a Sukari ya warembo nini tena kimekukuta...!?

Mbona unamueleza Pamela kinyonge hivo as if unahitaji huruma yake ili aendelee kuwa na wewe,,,,, ilihali unajua wewe ni kapuku..

Tafuta pesa
 

Salute sana taikon[emoji1487]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…