Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #41
Yaani hii hadithi uliyoandika nadhani ni ya kutafuta grades chuoni au?
Unawezaje kusimamisha viungo au kupata hamu ya tendo wakati,..Umewakilisha uhalisia wa vijana wengi wa kiTanzania, siyo kwamba hawana nguvu za kiume bali ni hali ya uchumi 'duni' inawaweka mbali na suala la ndoa.
Ukweli mchungu sana huu.Unawezaje kusimamisha viungo au kupata hamu ya tendo wakati,..
1. Huna chakula njaa kali sana
2. Unadaiwa kodi, ni zamu yako kulipa umeme au maji au matakataka.
3. Mwanamke anakuheshimu vipi unakaukanmpaka hela ya pedi Huna,
achana na kitu inaitwa umaskini. Usikie usisimuliwe..
Inafika kipindi ukipata ujumbe wa message kutoka tigopesa pressure inapanda na kununa simu....
Mungu atusaidie vijana tupate mbinu za kupata pesa.