Sio kweli kwamba kila mwanaume anajua kutongoza, tumetofautiana pakubwa sana

Sio kweli kwamba kila mwanaume anajua kutongoza, tumetofautiana pakubwa sana

gearbox

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2024
Posts
563
Reaction score
1,768
Kuna mwanaume anaweza akongea na demu mpya leo akatumia gharaman ndogo na wakapatana leo leo, au akichelewa sana basi ndani ya wiki moja;

Wakati huo huo kuna wanaume wengine wanahangaika miezi au hata miaka 5 wkitumia gharama kubwa zaidi bila mafanikio wanapigwa kalenda. Unakuta mtu anampangishia demu nyumba, au anamlipia ada ndio ale mzigo, wakati huo huo kuna wengine wanakula hapo hapo kwa gharama ndogo ama bure kabisa,
 
Ndio maisha yalivyo hata kwenye mafanikio ni hivyo. Kuna wale wanaohaso miaka 10 ndio wanatoboa alafu kuna wale wengine wakigusa tu wamefanikiwa.
 
Mi sioni cha ajabu mkuu, nikama watu wanaweza ingia kwenye ndoa na wakachelewa kupata mtoto ama wengine wakapata mtoto hata kabla ya kuingia kwenye ndoa
 
Hapo Mimi sihusiki.


Madem zangu wote ni WA bia tatu naweka geto. Au naenda road kuchota muwindaji mwenzangu.
 
Back
Top Bottom