The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Kwa ufupi, iko ivi ili nchi iendelee mbele kinachoitajika ni mfumo wa uhendeshaji.Kumezuka kasumba ya wanasiasa hasa wa upinzani kuwaaminisha wananchi kwamba mambo matatizo mengi tuliyo nayo, yanatokana na katiba mbovu tuliyonayo...
Ni kweli, Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume halitatuliwa na katiba mpya.Kumezuka kasumba ya wanasiasa hasa wa upinzani kuwaaminisha wananchi kwamba mambo matatizo mengi tuliyo nayo, yanatokana na katiba mbovu tuliyonayo...
Philosopher gani anapumba hivi? Define constitution au hata google basis uache uvivu na uzembe huku ukijipachika vyeo usivyovijuaKumezuka kasumba ya wanasiasa hasa wa upinzani kuwaaminisha wananchi kwamba mambo matatizo mengi tuliyo nayo, yanatokana na katiba mbovu tuliyonayo...
Kwahiyo unaona tuendelee na katiba mbovu iliyopo! Watanzania bwana!Kumezuka kasumba ya wanasiasa hasa wa upinzani kuwaaminisha wananchi kwamba mambo matatizo mengi tuliyo nayo, yanatokana na katiba mbovu tuliyonayo...
Katiba NI suluhisho lakila kitu.Nikweli isiyofichika. Ndugu yangu Philosopher ..jaribu kuangalia Tu Sheria ndogondogo zinaelekeza vipi. Je zinafuatwa? Uchuni WA NCHI na mwananchi moja moja haviwezi kukua Kama Tu katiba yenu nimbovu.Kumezuka kasumba ya wanasiasa hasa wa upinzani kuwaaminisha wananchi kwamba mambo matatizo mengi tuliyo nayo, yanatokana na katiba mbovu tuliyonayo...
Kumezuka kasumba ya wanasiasa hasa wa upinzani kuwaaminisha wananchi kwamba mambo matatizo mengi tuliyo nayo, yanatokana na katiba mbovu tuliyonayo...
Mkumbuke watanzania do wale wale hata mkija na katiba mpya! Nchi imeshindwa kuwafanya raia kuwa kwa kutumia raslimali vizuri! Pia mkumbuke hao wanaolilia katiba mpya wengi wao ni wanasiasa wanaojifanya wanajua kila kitu na wachumia tumbo kama akina zito,mbatia na chadema!Katiba NI suluhisho lakila kitu.Nikweli isiyofichika. Ndugu yangu Philosopher ..jaribu kuangalia Tu Sheria ndogondogo zinaelekeza vipi. Je zinafuatwa? Uchuni WA NCHI na mwananchi moja moja haviwezi kukua Kama Tu katiba yenu nimbovu...
Kwani Mkuu unajua maana ya Katiba?Kumezuka kasumba ya wanasiasa hasa wa upinzani kuwaaminisha wananchi kwamba mambo matatizo mengi tuliyo nayo, yanatokana na katiba mbovu tuliyonayo...
Acheni visingizio vyepesi hivi,iwe wanaoililia ni wanasiasa ama nani ila mwisho wa siku ni jambo zuri na muhimu kwa Taifa letu..Mkumbuke watanzania do wale wale hata mkija na katiba mpya! Nchi imeshindwa kuwafanya raia kuwa kwa kutumia raslimali vizuri! Pia mkumbuke hao wanaolilia katiba mpya wengi wao ni wanasiasa wanaojifanya wanajua kila kitu na wachumia tumbo kama akina zito,mbatia na chadema!
Point tupuNi kweli matatizo mengi ya nchi hii yanatokana na ubovu wa katiba. Ni hatari nchi kuwa na uongozi ambao kuwajibika kwa wananchi wake ni option. Viongozi wakiamua wanazima umeme wakiamua wanawasha,wakiamua wanajenga vituo vya afya au hawajengi...
Kwa kuongezea: uliona wapi kiongozi anatamka hadharani, tena kwa jeuri kwamba asiyetaka tozo ahamie Burundi as if hii nchi ni mali yake na hakuna wa kumfanya kitu, na bahati mbaya sana Watanzania kwa ujinga wao kama wa huyu mleta mada, wanafikiri wafaidika na hili jambo ni upinzani. Ilifikia mahala rais wa nchi analazimisha kwamba msiponichagulia huyu maji na umeme sileti hapa daah...Ni kweli matatizo mengi ya nchi hii yanatokana na ubovu wa katiba. Ni hatari nchi kuwa na uongozi ambao kuwajibika kwa wananchi wake ni option. Viongozi wakiamua wanazima umeme wakiamua wanawasha...
Yaani acha tu mkuu. Ila ninachompendea Mungu hajawahi kunyamazia manung'uko ya Haki. Ndio maana mimi binafsi kwa kuijua nafasi ambayo Mungu kaniweka "kiroho" kuna wakati huwa nalazimika kujizuia sana "kung'unika" hususani pale ninapoona watu wanakuwa "treated" kama "mbwa koko". Yaani nikinung'unika tu,achilia mbali kuamua kuteta na Mungu aisee surprise yake huwa ni balaa. Kuna watu maishani mwao hawatakuja kunisahau kamwe. Yaani ile mtu unapigwa ngumi halafu anayekupiga humuoni. Uzuri Mungu huwa ananipa kazi ya kuwaonya na kuwatahadharisha kwanza. Wakipuuza kifuatacho mimi nakuwaKwa kuongezea: uliona wapi kiongozi anatamka hadharani, tena kwa jeuri kwamba asiyetaka tozo ahamie Burundi as if hii nchi ni mali yake na hakuna wa kumfanya kitu, na bahati mbaya sana Watanzania kwa ujinga wao kama wa huyu mleta mada, wanafikiri wafaidika na hili jambo ni upinzani. Ilifikia mahala rais wa nchi analazimisha kwamba msiponichagulia huyu maji na umeme sileti hapa daah...