Pakome
JF-Expert Member
- Dec 8, 2024
- 1,651
- 1,129
Baadhi ya Watanzania walifuata mihemko na tabia ya kumwekea Mh Mbowe maneno ya mdomoni kwamba alikuwa aking'ang'ania CHADEMA kwasababu ya maslahi yake binafsi pasipokufahamu ukweli
Mh Mbowe sio wa kawaida kama mnavyodhani hasa linapokuja swala la kipato
Mh Mbowe anamiliki mawe ya kutosha yaliyopatikana nje ya CHADEMA
Euro, Pound, Dollar, Shillings kwake ni vitu vidogo
Mkanganyiko wa mapato yake unatokana na Mh Mbowe kutokuwa na mdomo mrefu yaani tabia ya kutokuanika maisha yake hasa mambo ya ndani sana kama mapato, jambo ambalo linaweka ukuta na watu washindwe kufahamu maisha yake ya ndani
Anamiliki miradi mingi sana ambayo haikupatikana kupitia fedha za CHADEMA
Miradi mingi imetokana na connection anazopata kutoka kwenye mataifa mbalimbali kwasababu ya umaarufu wake
Wafanyabiashara na wawekezaji wengi anaofanya nao biashara wengi sio Watanzania na wala sio wanasiasa wengi ni wa mataifa ya nje
Naweza kusema kuwa wafanyabiashara na wawekezaji wengi wanamfahamu na kumwamini kwasababu ya umaarufu wake lakini biashara anazofanya nao hazihusiani na siasa wala CHADEMA
Sababu pekee iliyokuwa ikimfanya ashindwe kuachia CHADEMA ni wosia wa Waasisi wa CHADEMA
Wakati wakimkabidhi uongozi, walimsihi sana ahakikishe CHADEMA inakua na sio kuanguka
Walimweleza kuwa kamwe hawatapendezwa kuona CHADEMA inaanguka
Wakamsihi ahakikishe anasimamia kwa nguvu zote, kwavyovyote vile awezavyo ili CHADEMA isianguke
Wakamsihi sana ikiwa atachoka basi atumie muda mrefu sana kutafakari kuhusiana na uongozi mpya ili asijekukabidhi viongozi wasiokuwa na akili wakajakuua CHADEMA
Kauli hii ilimtesa sana Mh Mbowe kwa miaka mingi na hata lilipokuja swala la kumkabidhi kiongozi mpya moyo wake uliingiwa na hofu kubwa sana, hakuthubutu kamwe kuchukua maamuzi kwasababu ya kukumbuka wosia mzito aliopewa
Pamoja na kwamba Lissu ndiye Mwenyekiti wa CHADEMA bado Mh Mbowe hajaweza kumwamini kama ataweza kukuza Chama
Bado wosia ule unamtesa sana
Jambo linalomkosesha Mh Mbowe amani ni pale alipoanza kuona Wanachama wakipungua badala ya kuongezeka huku Wosia aliopewa ukimkumbusha kuwa Wanachama wanatakiwa kuongezeka na sio kupungua
Wosia ni maagano, wosia unatesa sana
Endapo CHADEMA itazidi kuyumba basi atalazimika kurudi kwasababu dhamira ya Chama ni kukua na sio kufa
Lissue amekuwa na fujo nyingi zinazoharibu badala ya kujenga CHADEMA
Mh Mbowe angekuwa na akili finyu sawa na Lissu basi CHADEMA isingekuwa na idadi kubwa ya Wanachama
Swala la kumdharau Mh Mbowe ni sawa na kumdharau baba yako mzazi aliyekujengea maisha mazuri, baba ambaye angekuwa mpuuzi basi usingeweza kupata maisha uliyonayo kwa sasa
CHADEMA iliundwa miaka mingi sana, Lissu aliikuta tayari ikiwa inaelea
Mh Mbowe aling'oa visiki, kulima na kupanda huku Lissu akivuna kwa dharau kubwa pasipokumweshimu aliyeunda shamba na kupanda mazao
Waswahili wanasema ukiona vinaelea jua vimeundwa