Sio kweli kwamba Mh Mbowe alikuwa aking'ang'ania CHADEMA kwasababu ya Maslahi

Uzuri Lisu tunamjua sio mwongo mwongo, kwa kifupi yupo direct sana it pisses people off. Lolote lililotokea hadi kufanya Lisu akimsema mwenyekiti wake hadhari sio la kupuuzia.
 
Nchi iko na mambo mengi ya muhimu, sio kumuongeleq huyu tapeli wa kisiasa
 
Kwanini mimi kilaza?
Mbowe ni kibaraka wa ccm nyuma ya pazia na alikuwa analipwa kwa kazi hiyo, au unafikiri hizo hela mnazodai anazo amepata wapi alizichimba alidhinia au alizaliwa nazo, hiyo ni ajenda fiche ya ccm kununu viongozi wa upinzani ili kuleta picha ya kidemokrasia nchini lakini si ushindani halisi.
 
Yalikuwa matusi tu hasa watu wanapokuwa na hasira huwa wanatukanana hata matusi ya nguoni
Labda kama umezaliwa juzi, ile ni kesi ilifunguliwa mahakamani akituhumiwa kwa kosa la ugaidi.
 
Wewe ni mke wake?
 
Duh!

Vyama vingekuwa vinaendeshwa kwa wosia sidhani kama vingekuwa na wanachama zaidi ya wanafamilia na marafiki wa hapa na pale
 
Fujo kubwa ni dharau kwa waasisi wake, haoni jema kwa viongozi wengine, ni mtu wa kuona mabaya tu
Mbona alimshukuru Mbowe kwa sehemu yake aliyofanya ila alikataa siasa za udalali na maridhiano feki yaliyokua yanabaraka za MBOWE , sasa hizo ni fujo?
 
Huyo jamaa ushawishi wake ulishaisha. No body giver a damn about him wakati huu

Chadema ilikuwa inaenda kuwa CUF, kwa siasa laini za mbowe, walitaka so bad kurudi kwenye roots zake
 
Machawa mna shida sana, sasa mnakiri kwamba Mbowe hakuwa na tamaa ya uongozi lkn wakati akiwa madarakani mlisema alijigeuza mfalme wa Chadema.

Hata Tundu Lissu mnayemponda sasa akijiunga na ccm tu mtashindwa mtumie maneno gani kumpamba. Ccm nyie ni takataka tu hamna lolote. Bure kabisa.
 
Uzuri Lisu tunamjua sio mwongo mwongo, kwa kifupi yupo direct sana it pisses people off. Lolote lililotokea hadi kufanya Lisu akimsema mwenyekiti wake hadhari sio la kupuuzia.
Mbowe alidhani namna ile ya usemaji ni ya dharau na hii ndo sababu ya Mbowe kutokufika Gerezani kumsalimu
 
Umeua
 
Duh!

Vyama vingekuwa vinaendeshwa kwa wosia sidhani kama vingekuwa na wanachama zaidi ya wanafamilia na marafiki wa hapa na pale
Lakini hii ipo, mara nyingi mwanzilishi wake huwa anaacha wosia, ipo kwa vyama vyote lakini inabaki siri
 
Mbona alimshukuru Mbowe kwa sehemu yake aliyofanya ila alikataa siasa za udalali na maridhiano feki yaliyokua yanabaraka za MBOWE , sasa hizo ni fujo?
Mbowe aliona kama amedhalilishwa kelele zilipokuja hadharani
 
Huyo jamaa ushawishi wake ulishaisha. No body giver a damn about him wakati huu

Chadema ilikuwa inaenda kuwa CUF, kwa siasa laini za mbowe, walitaka so bad kurudi kwenye roots zake
Nimeona idadi ikipungua baada ya Lissu kuingia badala ya kuongezeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…