Sio kweli kwamba Mh Mbowe alikuwa aking'ang'ania CHADEMA kwasababu ya Maslahi

Hofu ya Mbowe ipo kwenye Chama kuanguka tangu zamani, anataka wanachama waongezeke sio wapungue kama sasa
 
Usenge mtupu
 
Mbowe aliona kama amedhalilishwa kelele zilipokuja hadharani
Alishakanusha madai ya Lisu ya maridhiano feki mkuu, so ukweli ukisemwa ni fujo? Labda useme alikosea kusema mapungufu ya mwenyekiti hadharani wakati kuna kamati za chama .
 
CCM anamtetea Mbowe
 
Vipi kwani yeye ataishi milele zote. Ameoaaniwa amtegemeaye mwanadamu.
Bwana asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha Bwana.

6 Maana atakuwa kama fukara nyikani, Hataona yatakapotokea mema; Bali atakaa jangwani palipo ukame, Katika nchi ya chumvi isiyokaliwa na watu. Yeremia 17:5,6
 
Vipi kwani yeye ataishi milele zote. Amelaniwa amtegemeaye mwanadamu.
Bwana asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha Bwana.

6 Maana atakuwa kama fukara nyikani, Hataona yatakapotokea mema; Bali atakaa jangwani palipo ukame, Katika nchi ya chumvi isiyokaliwa na watu. Yeremia 17:5,6
 
Vyovyote vile kwakuwa alikubali kuchukua hela ili awanyamazishe kina lisu au kuwapunguza speed basi automatic ni msaliti... ipo hivyo na itabaki hivyo hata km alifanyia chama mambo makubwa kiasi gani.
 
Alishakanusha madai ya Lisu ya maridhiano feki mkuu, so ukweli ukisemwa ni fujo? Labda useme alikosea kusema mapungufu ya mwenyekiti hadharani wakati kuna kamati za chama .
Swadakta, alitakiwa asiyamwage hadharani wayamalize humo humo ndani
 
Angeachia tu Chama ila kilichofanyika nikama kufukuzwa
 
Vyovyote vile kwakuwa alikubali kuchukua hela ili awanyamazishe kina lisu au kuwapunguza speed basi automatic ni msaliti... ipo hivyo na itabaki hivyo hata km alifanyia chama mambo makubwa kiasi gani.
Hili lilikuwa na ukweli au walimpaka tu mavi
 
Hofu ya Mbowe ipo kwenye Chama kuanguka tangu zamani, anataka wanachama waongezeke sio wapungue kama sasa
Wewe chawa tu sasa hiyo inakuhusu nini hata ikifa. Bogus kabisa.
 
CCM huwa akili zenu zina shida gani?
 
Hivyo ni vyake na hatuna shida ya kujua hiyo asali aliyokuwa anapewa na Watawala, sisi tulitaka mabadiliko ya Kiuongozi, miaka aliyoongoza na kudhorotesha Chama imetosha...period!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…