hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
Kwa nature ya watanzania ni ngumu sana kufanikisha lengo lako la kubadili mambo unayoona si sawa kwenye serikali.
Tofauti na Kenya ambapo wana umoja unaounganishwa na ukabila na factors zingine hivyo ukipinga ukiwa Kenya basi hauko peke yako.
Work smart, jiunge na Chama tawala, chezesha karata zako vizuri hadi ufike top.
Hapo utakuwa tayari una mtaji wa watu, nguvu na fedha, utaanza kubadili mfumo mzima waliokwisha kutengeneza CCM tangu Uhuru.
Ukiwa nje ya mfumo, Tofauti na ku risk maisha yako hakuna utakachobadili.
Magufuli kwa mfano naweza Sema ni mtu ambaye alipaswa kuwa upinzani lakini aka work smart na amebadili fikra na mitazamo ya watanzania wengi, amefungua akili za wengi ku pay attention kwenye serikali maana amefukua mouvu mengi sana achana na mabaya yake kwanza.
Mifumo iliyojengwa tangu uhuru huwezi kuiingilia kirahisi lazima utumie akili.