Sio Lissu wala Nyalandu mwenye uwezo wa kushindana na Magufuli 2020

Atakayeshindana naye atatoka ndani ya ccm yenyewe
 
Jiwe pamoja na fisiem yake bila kupigwa tafu na vyombo vya ulinzi na usalama ni wepesi kuliko unyoya. Hebu ajisahau iwe uchaguzi huru na wa haki, atapigwa saa 4 asubuhi wakati watu wapo kwenye mistari ya kupiga kupiga kura!
 
Watu wanasonga elimu,maji,umeme na miundo mbinu!
 
Magufuli ni moto!
 
Mwambe, Sumaye, Lowassa , Mashinji wangeweza ama wewe ni kama mwanamke malaya ambaye kila kitu anataka?
angegombea Mbowe mngesema kila mwaka, Mwambe mngesema huyo ni ccm mwenzenu, kila kitu mnakosoa, sijui MATAGA mna chawa kichwani au ni unafiki uliopitiliza?
 
Haya nijibie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…