DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Nimekuletea ka iPhone mpenzi.
Usifanye akili yangu ikaruka, iPhone tenaa[emoji1][emoji1] ila currently nipo Sumbawanga mkuu karibuu.Nimekuletea ka iPhone mpenzi.
Tuonane Kimara weekend ijayo kama ukiwa free
Upo kwenye course ?Usifanye akili yangu ikaruka, iPhone tenaa[emoji1][emoji1] ila currently nipo Sumbawanga mkuu karibuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitakuja leo usiku mkuu
Asante sana mkuu
Sherehe inafanyikia wapi??
Nilikuwa sijaiona hii, nimechelewa wapi. Happy birthday Mlevi Mmoja.
Umependeza ebu fanya kuipandisha juu basi
Umependeza ebu fanya kuipandisha juu basi