Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
😅😅😆
Ungenisubiri kidogo tutoke wote kesho, BTW happy birthday MLEVi Mmoja [emoji512] happy birthday in advance twin bbade
Hii special kwako mzee wa gambe[emoji28]
Siku hii nimeamua ninywe kistaarabuLeo bia kama zoTe
yess BiShoo haswaaAaa
Thank you [emoji4]Nakutakia heri na furaha kwenye siku yako ya kuzaliwa.
[emoji23][emoji23][emoji23]et cheerleader [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu busara tunazipata baada ya kupiga faru John moja ila ukipiga faru john ya tatu busara zinahama. Teh teh.
Teh teh ndio namalizia faru john ya pili mkuu hii clip ikiwa full tunaipata wapi maana imekatikaa.!!?Hii special kwako mzee wa gambe😅
😅😅😅😅, wazee wa gambe huwa mnajikuta sana.Mkuu busara tunazipata baada ya kupiga faru John moja ila ukipiga faru john ya tatu busara zinahama. Teh teh.
Isije kuwa pombe zimekupelekea kuiona nusu😅Teh teh ndio namalizia faru john ya pili mkuu hii clip ikiwa full tunaipata wapi maana imekatikaa.!!?
😅😅😅😅😅Isije kuwa pombe zimekupelekea kuiona nusu😅
Mkuu busara tunazipata baada ya kupiga faru John moja ila ukipiga faru john ya tatu busara zinahama. Teh teh.
Sisi ni watu muhimu sana ..hujui tunakuza uchumi [emoji3][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28], wazee wa gambe huwa mnajikuta sana.