bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Baadhi ya Timu za ligi kuu Tanzania zenye kasumba za kusajili wachezaji toka mataifa ya kigeni zimewahi kusajili wachezaji ambao walishindwa kukidhi viwango na kujikuta wakitupiwa virago mapema sana.
Sio mbaya leo tukijikumbusha baadhi ya Wachezaji hao na kuvishauri Vilabu viwe makini vinapofanya usajili hasa wa Wachezaji toka Nje,Baadhi yao ni kama vile÷
Jamal Mba,Pape Ndaw,Gervas Kago,Honore Kabongo aka winga teleza,Lino Mosondo,Kanu Mbivanga,Zuttah,Jaja,... na wengine wengi.
Tukumbushe na wewe wale ambao walisajiliwa halafu wakashindwa kukuvutia.