Sio mbaya tukijikumbusha Wachezaji waliokuja Ligi Ya Tanzania na Kuchemka

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Baadhi ya Timu za ligi kuu Tanzania zenye kasumba za kusajili wachezaji toka mataifa ya kigeni zimewahi kusajili wachezaji ambao walishindwa kukidhi viwango na kujikuta wakitupiwa virago mapema sana.

Sio mbaya leo tukijikumbusha baadhi ya Wachezaji hao na kuvishauri Vilabu viwe makini vinapofanya usajili hasa wa Wachezaji toka Nje,Baadhi yao ni kama vile÷
Jamal Mba,Pape Ndaw,Gervas Kago,Honore Kabongo aka winga teleza,Lino Mosondo,Kanu Mbivanga,Zuttah,Jaja,... na wengine wengi.

Tukumbushe na wewe wale ambao walisajiliwa halafu wakashindwa kukuvutia.
 
Huyo Pape Ndaw ndio alikuwa funga kazi,mpira wake ulikuwa unategemea na hirizi inavyopumua kiunoni. kweli wa Matopeni hapa walitia fora.
 
Serunkuma wawili, Komalmbil Keita, Hillary Echesa, Donald Musoti ( sio Ngoma [emoji23] [emoji23] [emoji23] ), Pierre Kwizera, Jerome Ramathakwane, Ousainou Manneh, Donald Musoti, Mussa Mude na Ndusha, Ezechwuku [emoji23] [emoji23] [emoji23], Derick Walulya , Gervas Kago, Jerry Santo, Samwel Ssenkoom, Abell Dhaira ( RIP ), Kiongera, Yaw Berko na Hamisi Kiiza(waliachwa na Yanga), Blagnon(yupo oman[emoji23][emoji23][emoji23]), Patrick Ochan, Kervin Ndayisenga, Justice Majabvi, Papa Niang(alirudia airport[emoji23][emoji23][emoji23]), Majwega, Daniel Akufor(goli moja tu la penalty ) Papa Ndaw(hirizi kiunoni[emoji23][emoji23][emoji23]) Angban(kisa African Lyon)
Hao wengine matataja wenyewe.
 
Ndaw bhana ile kiatu yake ilikua hatarii,yule mchezaji wa Prison alivyoshika powerbank ya jamaa akahisi mitetemo
 
STEPHEN BENGO Alikua bonge la Mchezaji akiwa kwao Uganda ila kaja Yanga kiwango kikayeyuka
 
morris sunguti alikuwa bonge la mchezaji.

nitamkumbuka daima
 
Jamaa alikua kama Mzee ala mwache na kipa alikua hana tabia na kucheka na Kima kbsa kati ya forwadi bora kabsa kutokea Yanga kidogo na Ambani,Mwalala na Davis Mwape
 
yaap mwingine benard mwalala, safi sana alipata raha kucheza alongside saidi maulid
 
Back
Top Bottom